Makubwa

Makubwa

Subiri hangover iishe urudi kusoma ulichoandika
 
Ndg zangu tunalo tatizo, baadhi ya watu tuliowapa madaraka wamekuwa kikwazo cha wananchi kuyafikia maendeleo yao na hili naliona kuanzia ngazi ya chini mpaka juu

Ukitaka kujua ninachomaanisha angalia mkt wa Kijiji ana majukumu gani ya kiserikali na anayatimiza kwa kiwango gani

Na huyu mwananchi anawajibika kwa kiwango gani katika kujiletea maendeleo yake kulingana na changamoto zilizopo za kimaendeleo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom