CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,289
- 12,957
Habarini,
Wadau usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto Mbunge mmoja machachari wa CHADEMA amekufa kifo chenye utata mpaka polisi wakaingilia kati.
Eneo alilofia kulikuwa na fujo mpaka mabomu ya machozi na risasi zilitumika kutawanya watu.
Dah, naomba hii ndoto isiwe kweli aisee!!!