Habari wanajamii forum
Kuna mishe nimeibuni,bracelets za jamii forum,vipi ninaweza pata sapoti kutoka kwemu wakuu maana nimeona sio mbaya kibongobongo tukaufagilia mtandao wetu pendwa
N.B.SIJAJUA...
Mara nyingi huwa tunaona muziki ukipigwa kwenye harusi, misiba, kwenye michezo, na kwenye matukio mbalimbali.
Watu huenda mbali zaidi na kusema kuwa muziki una nguvu ya kutibu hata stress na...
A,alleykum
Wadau katika maeneo yoote nilikwisha kutembelea katika nchi hii,nimejiridhisha kuwa wilaya ya MAKETE iliyoko mkoani Njombe ndio sehemu yenye baridi zaidi nchini Tanzania.
Hebu na ww...
Baada ya Uteuzi wake Waziri wetu wa Mambo ya Ndani tulikuwa tukimuona kila wakati kwenye media akija na matukio, maelekezo na amri mbalimbali.
For a while sasa kumekuwa na ukimya kutoka kwake...
Habarini za jioni, poleni na majukumu ya kujenga taifa, niende kwenye mada moja kwa moja.
Mimi ni kijana niliyemaliza Kozi moja wapo ya Afya ngazi ya Stashahada/Diploma mwezi Septemba 2017...
Habari wakuu.......
Wakuu kunasuala ambalo linanichanganya naomba ku-shere nanyi......
Siku zinayoyoma ...maisha magumu balaa....kijana wa miaka 28 unakua kama mzee wa miaka 60 kwa kuiwazia...
HII INAENDELEA KUNIAMINISHA KWAMBA KUMBE KUNA MHIMILI CHIMBIFU ZAID YA MINGINE
NA RAIS YUKO JUU YA MAHAKAMA NA BUNGE kwasababu zangu hizi
A. Rais ni sehem ya bunge, yaan bunge Lina sehem mbili...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa ufafanuzi juu ya upatikanaji wa chaneli zilizopo kwenye orodha ya zile za bure katika visimbuzi vya Digitek, Continental, Ting na...
As per heading above
Nini kimetokea, kimesababisha, kinaendelea na mwisho wake ni nini kati ya TCRA na wamiliki wa Vingamuzi. Baadhi ya channels hazionekani kwenye vingamuzi zingine except TBC...
Hbr za mapumziko wakuu,
Jamani ndugu yenu naomba msaada wa mawazo yenu, kwa haya yaliyonisibu.
Nina first born wangu ana miaka 4, tangia ana miezi 6 alikua anaugua SNA Mafua na kikohozi yaani...
Wadau hii dawa inauzwa mitaani jijini DSM lakini cha ajabu haina details za kumlinda mtumiaji.
Hakuna manufacturer details. expiry date au content za hiyo dawa kujua ni materials gani zimetumika...
Binafs natumia kingamuz cha azam kwa mda mrefu na siko tayar kukihama kwa ubora wake ulivyo na hasa ukizingatia ndo kuna kipindi pekee cha Racing show! Sasa tangu local channels kuondolewa sina...
Habari wanajamii forum
Kuna mishe nimeibuni,bracelets za jamii forum,vipi ninaweza pata sapoti kutoka kwemu wakuu maana nimeona sio mbaya kibongobongo tukaufagilia mtandao wetu pendwa
N.B.SIJAJUA...
Nimewaza sana kwa sisi tunaosafiri safiri ni vyema kama tutakuwa na Members wenzetu wa JF ambao watatusadia huko tuendako kwa ajili ya kupeana Company nakadhalika.
naomba tuweze kuwa na ukarimu...
Morogoro. Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba amesema Tanzania inaagiza tani 360,000 za mafuta ya kula kutoka nje ya nchi.
Mgumba ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Agosti 25, 2018 wakati akifungua...
Habari ya asubuhi wadau naandika huu uzi kwa mstuko baada ya kumsikia waziri wa elimu akizungumzia hali ya ebola nchini..!
Baada ya utawala huu kuingia kuliibuka kitisho cha njaa baada ya...
Habarini wana jamvi...
Naomba kujua safari za treni zipoje...kutoka morogoro -mwanza..
Ratiba yake Na nauli.
NB. Nimeangalia kwenye website wao sioni kitu
Walituambia Channel za ndani zitakuwa Bure tukanunua Vingamuzi. Leo hii StarTimes Tanzania wanatuambia tulipie 40000/= kuona channel za ndani. Utapeli wa kiwango kikibwa sana huu.
Mkataba wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.