Licha ya kujua athari za pombe kwa undani wake, kwanini Madaktari wanaongoza kwa ulevi ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Madaktari ni watumiaji wazuri sana wa vilevi, hasa pombe kali. Wengi wao ni walevi kupindukia mpaka wengine hudiriki kwenda makazini wakiwa chakali.

Wao wanajua athari za pombe kwa undani zaidi lakini ni walevi mbwa sana.

Ni ugumu wa masomo, ugumu wa kazi ama stress za maisha ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kisaikolojia kuna tofauti kat ya kujua kitu na kukifuata yaani kufaham ni jambo moja na kufuara kile unachofaham ni jambo lingine
Hii ninsawa na majority ya watu kujua madhara ya ukimwi na bado wanazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom