ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,373
- 4,114
Nipo na DSTV naangalia paredi ya kuapishwa kwa Rais wa Zimbwabwe naona kama haivutii ,sijui naionaje ika wenyewe wanaishangilia kinoma.
Haswa mwendo wao wa haraka na bendi yao inavyopigwa..
Mimi kama mpenzi wa paredi nawakaribisha wadau wengine wa paredi ni za nchi zipi zinavutia nizi tafute you tube,au tupeane maujuzi ya vionjo.