Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa kipindi kirefu hua najiulizaga bila kupata jibu sahihi ya namna ambavyo usomwagi wa taarifa za habari kwenye tv..hua zinarekudiwa kwanza na kueditwa kabla hatujarushiwa sisi watazamaji au...
0 Reactions
5 Replies
861 Views
Jana niliskia kuwa tcra wameamuru local channels zionyeshwe bure kwenye ving'amuzi vya startimes, ting na continental yani leo tar 21 (kuanzia).. Cha ajabu leo nilipowasha decoder yangu ya...
5 Reactions
77 Replies
14K Views
Napenda sana kuishi maeneo ambayo kuna Masela wengi wa Kutukuka ili nikaishi nao kutoka hapa ninapoishi sasa ambapo kuna Mabishoo na Wanabana pua Watupu ambao Kwangu Mimi naona hawana faida Kwangu...
10 Reactions
94 Replies
16K Views
Habari wanaJF.Kwa sisi tunaofanya bars barani,tunashuhudia ajali nyingi zikitokea,ajali zingine hutokana na uzembe/makosa ya madereva wa magari,zingine usababishwa na uzembe/uvunjaji was sheria wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yah: Walimu walikwambia wanataka Sofa!!?. Plz andika Mapema Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zanguni katika ukurusa huu wa jamii forums naomba kupata mafunzo maalum yakuweza kumjua mtu alie na wema kwangu na alie mbaya kwangu na nipate mafunzo ya kuweza kuwasoma watu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Gari la Waziri Ummy Mwalimu limepata ajali ambapo mwendesha baiskeli kagongwa na kujeruhiwa. Kama ilivyo ada magari yao yakipata ajali dereva wao si wa kulaumiwa ila kina sisi. Mwendo wao hakuna...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Chukulia sakata la makontena kama mfano tu. Halipendezi kama. Mambo yetu mengi tu. Kwa uzoefu wangu Mdogo Ingawa niko Ulaya Sasa more than 10 years, Watz hatupendani. Wengi tumefika tulipo kwa...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Naomba kwanza kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa maana hati niliyokuwa naipigania kwa muda mrefu hatimaye imetoka. Sasa naona hati hii niliyopewa ni ya takribani miaka 30 ambayo ni michache sana...
0 Reactions
4 Replies
44K Views
Nje Ndani - Inspekta Haroon Imekaa Vibaya - Kali P Kunguru Hafugiki - Dudu Baya Ndege Tunduni - Wanaume Madaraka ya kulevya - Weusi Zilipendwa - WCB Wasalimie Kigoma - Kiba Sent using Jamii...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Kwa kuzingua mara zote zile zilizopita na bado linadunda huku matawi mengine ndio wakichezea panga , na mara hii tena waziwazi imeonekana tawi linakatika baada ya aliyepanda mti kuona sasa tawi...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
KANUNI YA ADHABU MASHULENI: Kifungu cha 61(1)(v) Cha Sheria ya Elimu Sura ya 353 marejeo ya mwaka 2002, kinampa mamlaka waziri wa Elimu kutunga kanuni za masuala mbalimbali zitakayokidhi...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Natabiri bar na kumbi za starehe kujaa ,beer na na nyama kuliwa kwa wingi kusheherekea anguko la mtawala mbovu kabisa katika historia ya TZ mwenye majivuno,dharau na haiba za mtesaji Malyamungu wa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kijana Daudi,kumbuka hata kamanda kova siku hizi analalamika,watu wanakupenda ukiwa na power sio kwamba wewe ni special sana,ukisalimika safari hii badilika,acha rohombaya,acha unafiki,heshimu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za usiku wana jamii forum. Mungu ni mwema nashukuru kwa uzima na afya. Kwa wagonjwa kama ommy dimpoz pole sana,msijali mtapona.Nakukubali sana ommy dimpoz kwa pozi, mijimbo yako kama...
0 Reactions
7 Replies
849 Views
Habari za usiku wana jamii forums. Ni kwa neema tu tuko hai, si kwa uwezo, akili wala nguvu zetu. Siku ya jumatatu vijana wa ccm walikuwa ofisini kwetu hapa wakiwa na kikao chao. Sijui agenda ni...
0 Reactions
4 Replies
698 Views
Dar es Salaam. Mshtakiwa Harbinder Sethi ambaye anakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ameeleza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa ana miezi sita sasa hajawahi kuonana na mke wake...
4 Reactions
53 Replies
7K Views
Nimekua mfuatiliaji wa habari na makala mbali mbali toka tovuti ya BBC swahili kwa zaidi ya miezi sita sasa. Leo nimetahamaki kuona habari ambayo imechapishwa na chombo kikubwa kama hiki ikiwa na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
MKUU wa Polisi wa Wilaya (OCD) ya Bunda, E. Kamuhanda, ameingilia kati sakata la mwananfunzi Peter Richard (13) anayedaiwa kuvunjwa mkono na mwalimu wake baada ya polisi kituo kidogo cha Kibara...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakati niko mdogo, nlikua napenda sana Mpera. Mti huu ulikua unanifurahisha sana kutokana na matunda yake adhimu. Nafkiri wengi humu ndani tunaelewa utamu wa mapeerra hususan yale ya kizungu au...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…