yussuf mohammed yussuf
New Member
- Mar 8, 2017
- 2
- 1
Habari zenu ndugu zanguni katika ukurusa huu wa jamii forums naomba kupata mafunzo maalum yakuweza kumjua mtu alie na wema kwangu na alie mbaya kwangu na nipate mafunzo ya kuweza kuwasoma watu wenye tabia mbali mbali.
Sent from my iPad using JamiiForums
Sent from my iPad using JamiiForums