Kuna vikundi Vingi vya uigizaji vingependa kukutana na muigizaji hodari Wema Sepetu huku wilayani na mikoani na kuchuma uzoefu ikiwemo kutangaza kazi zake
Kwa wilaya ya Kahama mmiliki wa Nyumbani...
If you have sex with a man, his DNA lives in you forever.
A research by university of Seattle USA has proven that.
There is now a greater understanding of why God asks us not to have sex before...
Huwa yana kwao?kama ndivyo iweje yaje yajazane kwa binadamu hadi kufikia hatua ya kuaibishwa na kudhalilishwa kwa kutimuliwa na watu wa Mungu?je yakishamtoka mtu huwa yanaenda wapi?ama ni kweli...
Jumamosi ya leo ikitamalaki kwa utulivu iliyonao...nipo mitaa ya Nyakato-Meko Mwanza nikifuatilia 'games' za ligi kuu ya Uingereza
Nmeagiza kinywaji...kikaja
Ila sasa kinanuka kinyama...cha...
Wanajamvi.
Kwenye maisha hatuhitaji marafiki tu. Tunahitaji watu wote.
Kila mtu atakufaa kwa namna tofauti. Hata wale wasio marafiki, kuna kipindi watakufaa.
Sio kila mtu atakufaa kwenye...
Habari ya saa hizi.
Nahitaji msaada wa haraka kuhusu Tanesco "key change"
Nimenunua luku ikakataa hadi nipige simu tanesco kisha wafanye key change , naomva mwenye ufahamu anisaidi tafadhali...
Habari?,
Ninahitaji Tsh 1,000,000 ili kuboresha biashara zangu na nimekwama. Hivyo naomba kama kuna mtu anaweza nikopesha hiyo pesa nitairudisha baada ya miezi 2 na riba tutakayokubaliana.
Dhamana...
Kiukweli siku hizi sijui nisemeje nimekua nikiota ndoto nyingi sana mfululizo yaani usiku mmoja naweza kuota ndoto ishirini mpaka nashindwa kuelewa
Kwa mfano siku za weekend haswa jumamos na...
Pamoja na kwamba ote inasemekana walikaidi maelekezo, nimekusogezea hapa tofauti ya kipigo cha mbise kutoka kwa polisi na kile cha mgambo.
1. Polisi waliompiga mwandishi hawakuonekana vizuri...
Njia nzuri na ya uhakika ya kupambana na uchafu ni kuboresha hali ya maisha ya mwananchi mjini na kijijini.
Na kabla sijaemda mnali nikumbushe maneno ya Mwalimu J. K. Nyerere: "Ili tuendelee...
ππ *HATARI YA CHANJO KWA WATOTO MASHULENI.*πππ
```
Nimeletewa taarifa na Wanangu kuwa Shuleni kwao watafanyiwa chanjo ya kichocho na Minyoo.
Nilishtuka na kumuandikia Mwalimu kwenye Diary```...
Huyu binti ni msaani huwa namuona mara nyingi kwenye video za Kanumba The Great,naona anaitwa Lulu.
Ana sura nzuri na mcheshi mpole anajua kuigia japo ana umri mdogo. Nawaomba na kuwasihi...
Ni mbwa wa miezi minne sasa nimemfuga kwa ajili ya ulinzi wa nyumbani. Kinachonishangaza sijawahi kumsikia akibweka zaidi ya siku moja alikuwa anambwekea chura.
Kitu kingine yeye ni rafiki wa...
Za jioni Wakuu,natumai mu wa zima wa afya...
Naomba kuuliza utaratibu wa kupata kibali cha kuishi kwa mda mrefu ndani ya nchi yoyote iliomo ktk umoja wa SADC mbali na free Visa iliopo...