Hivi yale mapepo yakishatimuliwa na watumishi wa Mungu huwa yanakwenda wapi?

Nelson nely

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
4,256
2,861
Huwa yana kwao?kama ndivyo iweje yaje yajazane kwa binadamu hadi kufikia hatua ya kuaibishwa na kudhalilishwa kwa kutimuliwa na watu wa Mungu?je yakishamtoka mtu huwa yanaenda wapi?ama ni kweli kwamba huwa yanajificha kwenye kona za nyumba za ibada na kuwavagaa wengine?na kwanini watu wa Mungu waishie kuwafukuza badala ya kuyakemea,kuyasema na kuyachamba hadi yafe kabisa?
 
kwenda kutafuta nyumba itakayo wapokea. yakikosa hurudi tena sasa kama umeombewa afu bado hujawa tayari kuachana na yote lazima yakurufie tu
 
An endless War

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanarudi yalikotoka yaani kama wewe umenitupia mie nikiombewa yanakurudia mwenyewe
Usikiagi ile wanasema back to sender
 
Kutafuta nyumba kivipi mkuu?kumbe yanaeza kurudi tena?sasa kwanini hao watumishi wasiyaombee yafe kabisa si wana nguvu za roho?
 
hahaha yafe? mk nadhan wanaombea watu ili yatoke jukumu la kufisha kiimani najua unafahamu lipo kwa nani.
 
Yanarudi yalikotoka yaani kama wewe umenitupia mie nikiombewa yanakurudia mwenyewe
Usikiagi ile wanasema back to sender
Heeee...na kwanini yanakubali kudhalilika hivyo?yani kweli pepo na degree zake eli linaambiwa back to sender kweli jamani?
 
Huwa yana kwao?kama ndivyo iweje yaje yajazane kwa binadamu hadi kufikia hatua ya kuaibishwa na kudhalilishwa kwa kutimuliwa na watu wa Mungu?je yakishamtoka mtu huwa yanaenda wapi?ama ni kweli kwamba huwa yanajificha kwenye kona za nyumba za ibada na kuwavagaa wengine?na kwanini watu wa Mungu waishie kuwafukuza badala ya kuyakemea,kuyasema na kuyachamba hadi yafe kabisa?

Hata maka kila mwaka wanampopoa mawe shetani ilaha hafi wanakufa wao
Hajj.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom