Key change Tanesco-msaada wa haraka

wiser1

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
2,468
3,643
Habari ya saa hizi.


Nahitaji msaada wa haraka kuhusu Tanesco "key change"

Nimenunua luku ikakataa hadi nipige simu tanesco kisha wafanye key change , naomva mwenye ufahamu anisaidi tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani imebadikishiwa tariff,hivyo ni lazima ununue umeme kwenye madirisha ya LUKU yaliyopo Tanesco ili upate token.
Pole mkuu kama ndio hivyo ninavuojua,hadi Jtatu.!
 
Back
Top Bottom