Giannis Antetokounmpo
Senior Member
- Jan 16, 2017
- 134
- 65
Aisee wadau nna safari ya arusha kesho nsaidieni kuna bas gani luxury ukiachana na darlux,,
Mkuu kama unapenda luxury panda ndegeAisee wadau nna safari ya arusha kesho nsaidieni kuna bas gani luxury ukiachana na darlux,,
PoaMkuu kama unapenda luxury panda ndege
Luxury huipata abebwaye kwa safari yake ya cemetery,Aisee wadau nna safari ya arusha kesho nsaidieni kuna bas gani luxury ukiachana na darlux,,
Kama Dar Ex???Luxury huipata abebwaye kwa safari yake ya cemetery,
Wanaopanda ndege wana hofu ya kuanguka!
Wanaopanda meli wanauogopa mkondo wa Nungwi!
Wanaopanda mabasi wanahofu ya kuendeshwa na madereva walioutwika au walioamka nazo huku wakitumi barabara sambamba na vichaa, wanaojifunza udereva, madereva wazembe!
Huku mipunda na mibeberu ikihatarisha usalama barabarani kwa kukatisha barabara mbiombio kufukuzia mademu wao!
Nakushauri upande gari ambayo dereva wake ni Yesu au ni utaratibu wao kumpakia Yesu siti No. 1.
Kama uko vizuri kwa hela chukua
Kilimanjaro au Tahmed(haya magar kwa lxury bus ni elf 36 au 38) na hapo hukutani na dalali yoyote.
kama hela ya kawaida waeza chukua (Extra au kidia one au marangu au Hai au lim maana ni mapya na lxury ) hapa udalali upo ila usilipe zaidi ya 25 ni uongeaji wako.
mengine yalobaki naonaga ya kawaida yaani (dar lxury kwa baadh ya magar, bufalo,saibaba,machame,arusha one,.
Ila kama wataka kuwah chukua bufalo au tahmed na saibab zinazoenda nairobi kupitia arusha
Ndio jamii tunayoishi nayo sasaSa mambo ya yesu yanausikaje hapo jogi . Hiyo ni biashara unapoingiza mambo ya dini unapoteza na kuaribu biashara ya mtu. Watu washndane kwa huduma nzuri siyo mambo ya dini. Je kama mtoa mada ni mwislam anapokeaje ulichoandika? Hivi bakhresa angeweka udini au MEngi angeweka udini wangefika hapo walipo?

Ondoa hofu mkuu!Sa mambo ya yesu yanausikaje hapo jogi . Hiyo ni biashara unapoingiza mambo ya dini unapoteza na kuaribu biashara ya mtu. Watu washndane kwa huduma nzuri siyo mambo ya dini. Je kama mtoa mada ni mwislam anapokeaje ulichoandika? Hivi bakhresa angeweka udini au MEngi angeweka udini wangefika hapo walipo?
Kuna bus yaitwa saibaba kama huna haraka idake kwani wanagawa mswaki na dawa ya meno bure.na kama kuna MTU wa kukupokea huko mwambie aje kesho SAA NNE asubuhi kukupokea.we anza safari LeoAisee wadau nna safari ya arusha kesho nsaidieni kuna bas gani luxury ukiachana na darlux,,
Haya ndio madhara ya kuvuta bange mbichiLuxury huipata abebwaye kwa safari yake ya cemetery,
Wanaopanda ndege wana hofu ya kuanguka!
Wanaopanda meli wanauogopa mkondo wa Nungwi!
Wanaopanda mabasi wanahofu ya kuendeshwa na madereva walioutwika au walioamka nazo huku wakitumi barabara sambamba na vichaa, wanaojifunza udereva, madereva wazembe!
Huku mipunda na mibeberu ikihatarisha usalama barabarani kwa kukatisha barabara mbiombio kufukuzia mademu wao!
Nakushauri upande gari ambayo dereva wake ni Yesu au ni utaratibu wao kumpakia Yesu siti No. 1.
Wewe endelea kuvuta bange kavu! Changanya na mashonde kidogo.
Sawa na we msubiri yesu awe dereva wako maana kwa sasa madereva wote ni binadamu wa kawaidaWewe endelea kuvuta bange kavu! Changanya na mashonde kidogo.
Tatizo Dar lux mwendo wa kinyonga wanadanganys choo choo chenyewe wanafunga hakitumiki.Aisee wadau nna safari ya arusha kesho nsaidieni kuna bas gani luxury ukiachana na darlux,,
Hahahaa mkuu hawa Saibaba sijui kwa kweli ni mazingira yapi yatanishawishi nilipande tena. Naogopa kutukana mamba ila hawa jamaa ni janga.Kuna bus yaitwa saibaba kama huna haraka idake kwani wanagawa mswaki na dawa ya meno bure.na kama kuna MTU wa kukupokea huko mwambie aje kesho SAA NNE asubuhi kukupokea.we anza safari Leo