Vodacom,Tigo,Airtel tuleteeni Madam Wema Sepetu mikoani na wilayani atembelee vikundi vya uigizaji..

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Kuna vikundi Vingi vya uigizaji vingependa kukutana na muigizaji hodari Wema Sepetu huku wilayani na mikoani na kuchuma uzoefu ikiwemo kutangaza kazi zake

Kwa wilaya ya Kahama mmiliki wa Nyumbani Pub mwanamama Mrembo Mariam,kakupa ofa ya Chakula nyumbani Pub wilayani Kahama,upendo ulioje madam Wema huu

Pia Kahama wanahela hata ukitaka kupiga Picha na wewe iwe elfu kumi watapiga

Pia wakupangie utembelee baadhi ya familia zinazokupenda

Chibu nae nyota yake ilipendwa huku ila kakata mguu tunamsubiri aishiwe Nyimbo na Sie tutamnyaa

Instagram:kaukwaju
 
The great of all great thinkers.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha wachawi ndo hawa kwahio huko mnaombea hao jamaa mambo yasiende sawa ili baadae huko waje kupiga picha kwa buku 10.......ila kanda ya ziwa huko ni chocho la masupa staa wengi waliokwisha chuja
 
Back
Top Bottom