Wahudumu wa bar jitahidi kunawa mikono, inanuka sana...

fuma

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
214
407
Jumamosi ya leo ikitamalaki kwa utulivu iliyonao...nipo mitaa ya Nyakato-Meko Mwanza nikifuatilia 'games' za ligi kuu ya Uingereza

Nmeagiza kinywaji...kikaja

Ila sasa kinanuka kinyama...cha kwanza sikukimaliza(harufu ilinishinda) nmeagiza cha pili pia habari ni kama cha mwanzo.

Sina mashaka kabisa na kinywa changu

Sasa basi

Wadada mnaohudumia katika sehemu zetu hizi...jitahidini basi kunawa mikono yenu...inanuka nawaambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama inanuka kiasi hicho, huo mkono utakuwa na hatari
 
Umepata hasara kwa uoga wako... Chunga kulamba sumu.. then ukaagiza tena.
 
Sidhani kama humu jf kuna wahudumu wa baa...kidooogo labda maboss!
 
Jumamosi ya leo ikitamalaki kwa utulivu iliyonao...nipo mitaa ya Nyakato-Meko Mwanza nikifuatilia 'games' za ligi kuu ya Uingereza

Nmeagiza kinywaji...kikaja

Ila sasa kinanuka kinyama...cha kwanza sikukimaliza(harufu ilinishinda) nmeagiza cha pili pia habari ni kama cha mwanzo.

Sina mashaka kabisa na kinywa changu

Sasa basi

Wadada mnaohudumia katika sehemu zetu hizi...jitahidini basi kunawa mikono yenu...inanuka nawaambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mimi muhudumu wa Bar hafungui Bia yangu kama opener aliyonayo ni ndogo ambayo itamlazimu kukumbatia mdomo wote wa chupa kupata sapoti ya kufungua bia, kama anayo opener ndefu sharti pia afungue bia yangu kwa kuahakikisha hakumbatii mdomo wa chupa. wahudumu wa Bar nyingi hawapati semina elekezi za namna ya kuzingatia hygiene wakati wa kutoa huduma, utakuta muhudumu amekula nyama muda mwingi anajichokonoa na toothpick vidole vimelowa matemate lakini hajali, wengine wanakunywa bia wakati anahudumia matokeo yake mara kwa mara anakwenda aja ndogo, na si mara zote atazingatia usafi huyo, utajikuta mteja unakunywa bia na ut......ko. mwingine anatoka kidogo kwenda kugongwa alafu anarejea na kuendelea na kazi kama kawa, Nini kifanyike? Wamiliki wa Bar watoe semina kwa wahudumu juu nya kuzingatia usafi, wahakikishe wananunua vitendea kazi bora,.
 
Jumamosi ya leo ikitamalaki kwa utulivu iliyonao...nipo mitaa ya Nyakato-Meko Mwanza nikifuatilia 'games' za ligi kuu ya Uingereza

Nmeagiza kinywaji...kikaja

Ila sasa kinanuka kinyama...cha kwanza sikukimaliza(harufu ilinishinda) nmeagiza cha pili pia habari ni kama cha mwanzo.

Sina mashaka kabisa na kinywa changu

Sasa basi

Wadada mnaohudumia katika sehemu zetu hizi...jitahidini basi kunawa mikono yenu...inanuka nawaambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Bia umekunywa mwanza, malalamiko unayaleta jf
 
Ilikuwa baa gani mkuu,,? Shentemba, dv8, Cheears, Golden Rock, au wapi jamaa yangu nisiendepo kabisa,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom