Taratibu za kupata kibari cha kuishi kwa mda mrefu ndani ya nchi za SADC mbali na Tanganyika

Gonzalo Miguel

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
837
622
Za jioni Wakuu,natumai mu wa zima wa afya...

Naomba kuuliza utaratibu wa kupata kibali cha kuishi kwa mda mrefu ndani ya nchi yoyote iliomo ktk umoja wa SADC mbali na free Visa iliopo unayoruhusiwa kuishi kwa siku 90...Hasa kwenye nchi kama;
*Namibia
*Botswana
*Mauritius na.
*Seychelles
 
manizzle said:
Sawa mkuu. Uzoefu wa nchi za SADC Sina ila nina kauzoefu na commonwealth countries

Sent using Jamii Forums mobile app
👌Tiririka mkuu kwa sababu nazo ni target yangu hasa kwa Queen, Australia, Newzeland&Jamaica....ila niltaka nianzie na ndugu zetu hawa wa SADC
 
Tiririka mkuu kwa sababu nazo ni target yangu hasa kwa Queen, Australia, Newzeland&Jamaica....ila niltaka nianzie na ndugu zetu hawa wa SADC
Mkuu kuna nchi za commonwealth unaingia bila visa na kuna nyingine unaingia kwa visa kama vile UK na Australia zenyewe. Cha kufanya just google nchi ambazo watz tunaingia bila visa utaona utaratibu wake. Kwa mfano huku nilipo nilipata visa ya makazi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimeangalia nmekuta nyingi ni za Afrika ndo kuna free visa af pia karibia member wote wa SADC ni Commonwealth countries....... ¿Mkuu kwan ww upo wapi?
 
Back
Top Bottom