Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kiukweli siku hizi sijui nisemeje nimekua nikiota ndoto nyingi sana mfululizo yaani usiku mmoja naweza kuota ndoto ishirini mpaka nashindwa kuelewa Kwa mfano siku za weekend haswa jumamos na...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Pamoja na kwamba ote inasemekana walikaidi maelekezo, nimekusogezea hapa tofauti ya kipigo cha mbise kutoka kwa polisi na kile cha mgambo. 1. Polisi waliompiga mwandishi hawakuonekana vizuri...
10 Reactions
44 Replies
5K Views
Njia nzuri na ya uhakika ya kupambana na uchafu ni kuboresha hali ya maisha ya mwananchi mjini na kijijini. Na kabla sijaemda mnali nikumbushe maneno ya Mwalimu J. K. Nyerere: "Ili tuendelee...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
💉💉 *HATARI YA CHANJO KWA WATOTO MASHULENI.*💉💉💉 ``` Nimeletewa taarifa na Wanangu kuwa Shuleni kwao watafanyiwa chanjo ya kichocho na Minyoo. Nilishtuka na kumuandikia Mwalimu kwenye Diary```...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Huyu binti ni msaani huwa namuona mara nyingi kwenye video za Kanumba The Great,naona anaitwa Lulu. Ana sura nzuri na mcheshi mpole anajua kuigia japo ana umri mdogo. Nawaomba na kuwasihi...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni mbwa wa miezi minne sasa nimemfuga kwa ajili ya ulinzi wa nyumbani. Kinachonishangaza sijawahi kumsikia akibweka zaidi ya siku moja alikuwa anambwekea chura. Kitu kingine yeye ni rafiki wa...
5 Reactions
143 Replies
12K Views
Tumeisha aisee. Dah ! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
60 Replies
17K Views
Salama wapendwa. Niwaombe msaada wapi naweza kupata mafuta mazuri ya massage humu Dar? Natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Za jioni Wakuu,natumai mu wa zima wa afya... Naomba kuuliza utaratibu wa kupata kibali cha kuishi kwa mda mrefu ndani ya nchi yoyote iliomo ktk umoja wa SADC mbali na free Visa iliopo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sina hata kidogo aidea ya hi kitu ila nahitaji kutengeneza app ya kitabu changu plz anaejua anicheki Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila thread ninayoianzisha nikiangalia kwenye hiyo forum nakuta yangu ina alama ya Jicho " kwamba Thread ipo watched" najiuliza why threads zangu zinakuwa watched ? je zina uhatari wowote au kwa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Jana nikiwa Mombo nilimwona kijana mmoja wa kijapan amejibandika matangazo kifuani na mgongoni. Nilimwuliza kulikokoni akanieleza kuwa aliibiwa juzi vitu vyake ndani ya basi la Kidia one...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Timotheo anayedaiwa kufungiwa ndani na wazazi wake kwa miaka 12. Na Mwandishi Wetu, UWAZI SINGIDA: Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste katika Kijiji cha Itaga mkoani Singida, David Mtipa (59) na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika taarifa ya habari ya Clouds FM asubuhi ya leo saa moja imetangazwa kuwa huko Temeke askari wa usafi wa utaratibu ulioanzishwa na RC Makonda wamempiga baba na kumjeruhi mtoto wake ambaye...
6 Reactions
117 Replies
22K Views
Katika taarifa ya habari ya Clouds FM asubuhi ya leo saa moja imetangazwa kuwa huko Temeke askari wa usafi wa utaratibu ulioanzishwa na RC Makonda wamempiga baba na kumjeruhi mtoto wake ambaye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dar es Salaam, CP Simon Simon Siro akionesha kwa waandishi wa habari bunduki aina ya SMG iliyotumiwa na majambazi kupora fedha katika benki ya Access, Mbagala, Dar es...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waziri wa Mifugo na Kilimo, Mwigulu Nchemba (katikati) akiwa na Mkuu wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo (mwenye kofia kutokea kulia) wakielekea eneo la tukio. Mwigulu Nchemba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna makabila yameshikilia mambo ambayo hayana mashiko ukilinganisha na nyakati tulizonazo. Mfano, ktk familia kuthamini zaidi mtoto wa kiume kuliko mtoto wa kike hata pale inapoonekana binti kuwa...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Taifa letu kwa ujumla limekumbwa na matatizo mazito ya wanandoa ambapo yamesababisha vilio na manung'uniko ndani ya nyumba hususani kwa kina mama hivyo wazee wakanisa na mabaraza ya wazee...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Askari Mgambo waliompiga na kumuumiza vibaya mfanyabiashara Robson Orotho mkazi wa Bunju A anayedaiwa kutolipa faini ya usafi wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoa wa Kinondoni baada ya kusambaa...
11 Reactions
89 Replies
14K Views
Back
Top Bottom