Je, hii ni haki? Nimeshindwa kuelewa/kusoma alichoandika Daktari

humphrey_on_th_forum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
275
222
Habari wana jamvi,
Binafsi juzi nilienda katika maabara moja ili kufanyiwa vipimo, ila alichoniandikia doctor binafsi nilishindwa kukielewa kutokana na jinsi alivyouandika mwandiko wake katika karatasi niliyotakiwa kuipeleka kwa muuzaji wa dawa.
Chakushangaza muuza dawa alielewa kilichoandikwa. Kama kuna aliyeelewa kilichoandikwa kwenye karatasi niliyoiambatanisha tafadhali anijuze!
IMG_20180730_204053.jpg
 
Habari wana jamvi,
Binafsi juzi nilienda katika maabara moja ili kufanyiwa vipimo, ila alichoniandikia doctor binafsi nilishindwa kukielewa kutokana na jinsi alivyouandika mwandiko wake katika karatasi niliyotakiwa kuipeleka kwa muuzaji wa dawa.
Chakushangaza muuza dawa alielewa kilichoandikwa. Kama kuna aliyeelewa kilichoandikwa kwenye karatasi niliyoiambatanisha tafadhali anijuze!View attachment 822987
Tafiti zinaeleza asilimia kubwa ya watu duniani hufariki kwa makosa ya watu kutopewa dose/dawa sitahiki kwa wagonjwa kutokana na manurse/wagawa dawa kushindwa kusoma kilichoandikwa na daktari sababu ya mwandiko wa hovyo!

Hili nalo ni janga.....
 
Binafsi hizo dawa nimezipokea kwa shingo upande kwani sikuamini kama aliyeniuzia hizo dawa kama ni kweli ameelewa kilichoandikwa kwenye hiyo karatasi.
 
Kuna kipindi huwa nafikiria kuwa
'defination ya udactari = ni kuwa na muandiko ambao hausomeki au unaosemeka kwa baadhi ya watu tu'
 
Hahaaa mzee umeliwa , wauza dawa wengi huwa hawaelewi yeye anahitaji pesa yako hawezi kuiacha kizembe.
Ni bora akupe dawa siyo lakini pesa yako aikamate .
Kwani hujapata kusikia takwimu kila mwaka idadi ya watu wanaokufa kutokana na wrong prescription na mwandiko mbovu wa docta???
 
Wewe ulipewa list ya dawa upeleke maabara upatiwe Dawa na dawa zako ulipata tatizo ni nini chief?
Mbona yanasomeka
Hapo naona urine clear yellow
Micro many pus cells seen
Pia naona aliprescribe
Paracetamol
Doxy inj.
Sawa chief,
Tuseme inabidi nirudie somo la mwandiko maana binafsi sijaelewa chochote kilichoandikwa hapo isipokuwa tarehe tu.
Imagine wewe ni msahihisha mitihani then kuna mwanafunzi mtihani wake ameuandika kwa mwandiko kama huo, utaweza kuelewa alichokiandika chief?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom