Ujenzi HQ Bakwata umeshika Kasi hongera Makonda

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,957
141,946
Natokea hapo Hugo house narudi ofisini kwangu Ufipa, kiukweli haya majengo ya Bakwata yanapendeza hongera sana Kwa mfadhili anayewajengea. Thanks!
 
Mfalme wa Morroco najua alitoa hela za kujenga pamoja na msikiti nadhani.
 
Tulikuambia weka picha hutaki wakati uko jirani hapo. Tulio Masasi hata Ntwara hatujafika. Unadhani tutakuelewa ?
 
Back
Top Bottom