Kisimbusi kipi ni Burudani kuliko vingine?

Kisimbusi kipi ni Burudani kuliko vingine?

Jadi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
1,494
Reaction score
864
Wakuu habari, naomba msaada ninunue Kisimbusi kipi ili nione Chaneli za bure baada ya Azam na DSTV kukataliwa kuzionyesha? Na utaratibu ukoje?
 
Hata wasiporudisha hizo local channels - sisi ni DSTV na AZAM tu - Hatuhami. Hivyo ving'amuzi vya kuonyesha picha huku zinaganda, nani anunue???
 
Back
Top Bottom