Informer Platinum Member Joined Jul 29, 2006 Posts 1,628 Reaction score 6,818 Sep 1, 2018 #1 Kama una safari ya kupitia maeneo hayo ukielekea Uwanja wa Ndege au kwingineko, fikiria kutumia njia mbadala. Kwa maelezo ya wadau, hata Kwa Nyerere - Morocco hapatembei pia! Wadau tusaidiane kupeana updates
Kama una safari ya kupitia maeneo hayo ukielekea Uwanja wa Ndege au kwingineko, fikiria kutumia njia mbadala. Kwa maelezo ya wadau, hata Kwa Nyerere - Morocco hapatembei pia! Wadau tusaidiane kupeana updates
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 4,017 Reaction score 9,566 Sep 1, 2018 #2 mvua trafiki wamekimbia! wanaume wa Dar hao
Informer Platinum Member Joined Jul 29, 2006 Posts 1,628 Reaction score 6,818 Sep 1, 2018 Thread starter #3 Njia imefungwa TAZARA kwa wanaotokea mjini lakini kikosi kazi kinaendelea kuhakikisha panapitika “kwa taabu sana”
Njia imefungwa TAZARA kwa wanaotokea mjini lakini kikosi kazi kinaendelea kuhakikisha panapitika “kwa taabu sana”
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,930 Reaction score 77,199 Sep 1, 2018 #4 Tazara Naamini Baadaye Ujenzi Ukiisha Itakuwa Nzuri Sana