Msaada Ndgu Nahtaj Kufahamu Udsm Wanatoa Majina Lini Ya Waliochaguliwa Na Second Selection Zmeshatoka Au Bado Za Chuo Kikuu Msaada Jamani Mpaka Xaxa Xjapata Selection Mxaada Kwa Hlo Jaman
Last week nilitembelea shule ya sekondari ,ipo kariakoo katikati ya Benjamin Mkapa na ile shule ya Viziwi,ni shule ya umma,baada ya kumalizia shughuri yangu wakati natoka nikakutana na wanafunzi...
Habari wandugu hii ni miongoni mwa simu nilizokua nazo
Hii simu tatizo lilianza nilivyoirestore nilirestore kwa bahati mbaya wakati inarestore betri ikachomoka kuanzia hapo ikawa inawaka tu...
Wakuu ndo nimeingia Arusha usiku huu kutokea Dodoma, naulizia wapi naweza kupata huduma tajwa kwa bei poa, zana na hela ninazo, bajeti yangu ni 30,000/nyavu. Nimefikia WAYSIDE HOTEL karibu na City...
Kuna Gari ya matangazo inapita kutahadharisha Raia Juu ya kuchukua Tahadhari kwa wananchi wanaoishi karibu na fukwe za coco beach waondoke kwani bahari inaweza kuchafuka muda wowowte.
Nimejaribu...
Jeshi la polisi Mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Salum Mzee Kondo (38),fundi ujenzi mkazi wa Kidongo Chekundu, Bagamoyo aliyehusika na tukio la mauaji ya mkewe, Mwajuma Omary (27) kisha...
Tangazo, wanapima na kutoa miwani bure, lakini hiyo miwani yenyewe sasa daah! ni afadhali hata ile ya wachomeleaji ina vishikio;
Yaani ukitegemea ile miwani kuvuka barabara wallah unagongwa...
Watanzania zaidi ya 50 wanaodaiwa kusamehewa na serikali ya Iran baada ya kufungwa jela kwa makosa ya kukutwa na madawa ya kulevya wanaendelea kusota jela nchini humo kufuatia kusubiri kibali cha...
Martini Luther! Niseme nini tena huyu ndiye Mwanamapinduzi, Mwanamageuzi wangu mkubwa aliyewahi kuishi Dunia hii!
Martini Luther aliyezaliwa huko nchi ya Ujerumani Bara la Ulaya, Mwaka 1517...
Nimegundua ya kwamba 85% ya Wasomi wa Tanzania na hasa ambao wanafanya Kazi Serikalini au ni Watumishi wa Serikali wana tatizo kubwa sana ' Public Speaking ' na wana Kiwango cha chini mno cha '...
*CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAAHIDI UONGOZI WA KIUTUMISHI NA KUSHUGHULIKA ZAIDI NA UTATUZI WA SHIDA ZA WANANCHI WA JIMBO LA UKONGA – WILAYA YA ILALA*
Tarehe 06 Septemba 2018
Katika Mkutano wa...
Nimepitia sekeseke linaloendelea hapo Kenya kuhusu bei ya mafuta nikajua kweli wenzetu wanajitambua,na sie wa Tanzania tumelala,fikiria Serikali imeweka kodi kidogo kwenye mafuta itakayofanya...
Hiki ni kilio cha muda mrefu cha mawakala hawa waliosambaza pembejeo za ruzuku mwaka 2015.nashindwa kuelewa ni kwa nn serikali inawafanyia uonezi wa namna hivi.na kama inaona **** udanganyifu...
Heshi mbele wakuu...Mara nyingi nimekuwa nikisikia hawa jamaa wa Nigeria(hasa waliopo nje ya bara la Afrika) wakiitwa wapopo..Hivi hili neno lina maanisha nini???,ni nini asili yake???,naomba...
Miaka ya nyuma cheo cha DC kilikuwa kinaheshimika sana miongoni mwa jamii yetu na mtu aliyekuwa anateuliwa nafasi hiyo ilikuwa lazima anajulikana kwa heshima yake.
Heshima ya cheo hicho ni pamoja...
Kuna level au vyeo au kipimo cha ukubwa wa nyota yako kwa kujikuta unaweka ishara mbalimbali za Freemasony kama kukunja nne pale unapokaa,kuweka mkono mfukoni,kujikuna kichwa na kadhalika
Ila...
Nimeona hii habari nikasikitika sana. Hivi Tanzania ya viwanda tunataka iwe ya viwanda gani?
Nilitegemea Serikali na taasisi mbalimbali wajitokeze wamsapoti huyu mzee aliyebuni hii bajaji ila...
Hii nchi ilipofikia tusiombe tena ila tutubu tu labda kuna mzee nilifikirigi ana elimu kubwa lkn anaongea mashudu tupu anadai yale makontena yaliyokua na matrekita na masofa yalikua karibu ña...
Kama heading inavyojieleza, ningependa kupata maelezo kuhusu Kisiwa cha Hawaii, hasa kwa watu wenye uzoefu (ikiwezekana waliowahi kufika).
Nina safari (kikazi) ya kwenda huko Kama wiki tatu hivi...