JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Viongozi walimu wanawake wa Chama Cha Walimu Kiteto CWT wamepatiwa Elimu ya kukabilina na changamoto mahali pakazi.
Elimu hiyo imetakiwa kusambazwa kwa walimu wanawake wote Wilayani Kiteto
Akizungumza mbele ya mkuu wa Wilaya ya Kiteto, mkt wa Kiteto cha wanawake, Agnes Lyatuu amesema Elimu hiyo ni ya kikatiba kwa walimu hao.
"Elimu hii ni kwa mujibu wa katiba ya Chama Cha Walimu inayotaka viongozi wa walimu kitengo cha wanawake kuipata ili iweze kusambazwa kwa walimu wanawake"
Akizungumza na walimu hao Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhandisi Tumaini Magessa alisema Serikali inatambua mchago wa walimu hawa wanawake.
Hatuna Shaka Serikali hasa kwa walimu wanawake kwani tunaona mnavyowajibika katika sehemu zenu za kazi.
Kubwa tunataka maadili ya kazi yazingatiwe kwani walimu ni kioo cha jamii ambapo kila mwananchi anatamani kuiga mkifanyacho