Naomba mwenye uelewa kuhusu gharama ya kwenda Afrika kusini zikoje ukizingatia nauli ya kwenda na kurudi,kulala siku mbili hotelini je,kwa kukadiria inaweza kuwa shilingi ngapi za kitanzania.maana...
Moderator huu uzi unajitegemea . naomba msiuunganishe na mwingine wowote. tusije onana wabaya (i am kidding)
kutokana na matukio mengi ya kudhalilishwa utu wa binadamu wa jinsia zote za kike na...
Nilikuwa na shauri la kikazi ofisi ya rais Ikulu. Rufaa yangu haijakubaliwa. Nataka nipeleke shauri langu mahakama kuu kitengo cha Kazi.nitaratibu zipi nifuate?
Nimeshitushwa na muonekano wa mwalimu mmoja kati ya wawili wanao tuhumiwa kosa la mauaji ya mwanafunzi mkoani kagera kukusuduia .
Katika picha akiwa eneo la mahakama anaoneka akitabasamu wakati...
Wana jf tunaofukuzia pesa kwenye tatu mzuka tukutane hapa lengo Ni kuendelea kutiana moyo,kupeana maujanja Zaid,kutakiana her na kufarijiana.one day yes.nu marufuku kukata tamaa.nawakaribisha...
Huyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za...
AMEWAAMBIA MAAFISA KTK WIZARA YAKE WATAKAOSHINDWA KWENDA NA KASI YAKE BORA WAJIUZULU!AMEAHIDI KUTEKELEZA MALENGO NDANI YA MIAKA 3 MIAKA 2 INAYOBAKI YA KUMALIZIA MALIZIA.Naibu waziri mwakyembe...
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 18 kwa tuhuma za kuhusika kwenye matukio mbalimbali ya uhalifu wakiwemo watu sita wanaodaiwa kukutwa na silaha moja ya kivita aina ya AK47 ikiwa...
[emoji382][emoji382] *HATARI YA CHANJO KWA WATOTO MASHULENI.*[emoji382][emoji382][emoji382]
```
Nimeletewa taarifa na Wanangu kuwa Shuleni kwao watafanyiwa chanjo ya kichocho na Minyoo...
Narudia tena kuleta huu uzi hapa je TRA eneo la kariakoo limewashinda? Hii tabia ya kiburi ya wafanyabiashara kutoa risiti isiyoendana na mauzo ndio utaratibu mlio uruhusu?
Kama mnajifanya hamna...
Hawa ni watoto wa shule ya Marys ingawa sijajua ni ya Mkoa gani lakini kwa aslimia 100 ni Tanzania
> Ndugu Watanzania hasa wenye watoto wanaosoma zile shule za kuchukuliwa na School Bus hivi...
Mzuqa wanaJamvi,
Homu ni homu tuu
Yani mvua inaponyesha kwa nguvu halafu nyumba imeezekwa na bati "galsheet" ile kelele na kawinter flan halafu ni night. Pemben yako huko na demu wako...
Hivi kwa mfano ukifanikiwa kujenga nyumba yako ya kuishi na familia yako ikawa ndogo ya watoto wawili na mke.. Then ikawa unaweza kuingiza laki tatu tu kwa mwezi huezi endesha maisha..?
Sent...
Wenyeji wa mkoa huu, nipo Moshi mjini hapa nitakuwepo mpk wikend hii iishe, tujuzane viwanja vya kisasa vya kuburudika ambavyo vinabamba kwasasa, pia maeneo wanayopatikana akina Manka maana sitaki...
Habari zenu wanajamii, natumai nyote ni wenye siha njema. Kwa wale waliyo na shaka kwenye afya zao, Mungu awajalie soha njema na awaondoshee maradhi.
Naomba niwasilishe hili
Mtanzania...
Wakuu.
nawasalimu sana sana.
Baada ya salamu naomba nieleze kua serikali haichangii chochote kwenye uzalishaji wa kahawa na hakuna msaada wenu.
Bado mnanunua kwa bei za chini yaani nipate hasara...
Mungu Akuongoze,najua hata ukiwa nje unao uwezo wa kutatua kero,jamii inanisubiri iweze kufaidi matunda ya kunilea
Mimi nafuata mapigo ya mziki yaani key
Instagram:kaukwaju
Umejenga mapinga ndanindani unafanya kazi makumbusho, kutoka kwako mpaka barabarani boda 1000, dala mpaka tegeta 1000, tegeta mpaka makumbusho 500, jumla kwenda 2500, jumla kwenda na kurudi 5000...
Habari
Mimi ni mteja wa LUKU hasa tariff T4 maana nilikuwa nautumia umeme nikinunua wa sh. 7,000/= nakaa nao kwa muda wa mwezi na wiki moja. Haja jukwaani tanesco walishawahi kuja na uzi wa jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.