IGUNGA: Muuguzi amuunguza Mtoto sehemu za siri

IGUNGA: Muuguzi amuunguza Mtoto sehemu za siri

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Jehi la Polisi Wilayani Igunga mkoani TABORA linamshikilia mtumishi wa hospitali ya wilaya, Joyce Ngalama akidaiwa kumuunguza sehemu za siri kwa pasi, Mtoto wa kike

> Mtoto huyo anaumri wa miaka 13.
 
yaani hospitali kuna pasi? au ni mtotowake kamuunguzia nyumbani? hizo sehemu za siri ni mbele au za nyuma?
 
Hii habari haieleweki huyo muuguzi ni mama wa mtoto? au ni nani kwa huyo mtoto? je alikuwa kazini au nyumbani?
 
Mtoa mada tunafurahi kwa taarifa yako ila ifanye ieleweke zaidi.

Pole yake mtoto
 
Jehi la Polisi Wilayani Igunga mkoani TABORA linamshikilia mtumishi wa hospitali ya wilaya, Joyce Ngalama akidaiwa kumuunguza sehemu za siri kwa pasi, Mtoto wa kike

> Mtoto huyo anaumri wa miaka 13.


Kulikoni watumishi mmekuwa wakatili namna hiyo?
  • Tulizoea kuusikia ukatili wa Polisi
  • Juzijuzi walimu
  • Leo kwa wauguzi
  • Sijui kesho kada gani
 
Mtoa maada ume kulupuka [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom