Wana Kilimanjaro, sehemu gani nzuri za kula bata?

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,416
6,577
Wenyeji wa mkoa huu, nipo Moshi mjini hapa nitakuwepo mpk wikend hii iishe, tujuzane viwanja vya kisasa vya kuburudika ambavyo vinabamba kwasasa, pia maeneo wanayopatikana akina Manka maana sitaki upweke kwa hizi siku kadhaa. Ahsanteni
 
Shukrani kwa muongozo
Nilipokuwa huko nilifanya ZIARA ya kushtukiza maeneo haya RED STONE, BLACK DIAMOND, MALINDI (malaya za kutosheleza nafsi), PUB ALBERTO wengine wataongezea.

#krav_maga
 
Nilipokuwa huko nilifanya ZIARA ya kushtukiza maeneo haya RED STONE, BLACK DIAMOND, MALINDI (malaya za kutosheleza nafsi), PUB ALBERTO wengine wataongezea.

#krav_maga
Mwambie asisahau kupitia pale police mess ale nyama choma!!
 
red stone Pako good Kwa wastaarabu ila ukitaka malaya pitia hapo malindi juu kidogo ya round about ya KCU hapo ni pub za moshi mjini ila kama vip unaweza ruka boma kuna club kama ngalawa, Chicago, kuna fm na nyingi kibao ila unaweza kuja sunsite hapa njia panda ya uwanja wa kia au hapo sadala kuna ki pub naona nyama na bia Kwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom