Mwalimu mtuhumiwa wa mauaji ya mwanafunzi hayuko sawa afya ya ..

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
11,324
17,829
Nimeshitushwa na muonekano wa mwalimu mmoja kati ya wawili wanao tuhumiwa kosa la mauaji ya mwanafunzi mkoani kagera kukusuduia .
Katika picha akiwa eneo la mahakama anaoneka akitabasamu wakati mwalimu mwenzie akionekana kuficha sura yake.
Kitendo cha mwenzie kuficha sura inaonesha anajisikia vibaya kwa kutuhumiwa kosa la kitendo kinacho chukuliwa kama cha kikatili ktk jamii yetu.

Hali imeonekana tofauti kwa mwalimu mwenzie ambae anafurahi kwa tabasamu kama vile ni tukio la kawaida. Hii imepelekea kunipa hisia huenda huyu mwalimu ana tatizo flani linalopelekea hali hiyo.

Angalizo: Kesi ipo mahakamani hivyo tujizuie michango yoyote yenye kuingilia muenendo wa kesi mahakamani au kuingilia uhuru na haki za watuhumiwa.

Jionee mwenyewe kwenye picha ifuatayo:
MWALIMU%20MUUAJI.jpg

katika picha : Walimu shule ya msingi Kibeta katika manispaa ya Bukoba wakifikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kosa la mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi Sperius Eradius.
Picha kwa hisani ya IPPMEDIA.
 
kwa hiyo unaanza kumtengenezea mazingira ya kuachiwa huru kwa kisingizio cha 'hayupo sawa kiafya'?
 
Nimeshitushwa na muonekano wa mwalimu mmoja kati ya wawili wanao tuhumiwa kosa la mauaji ya mwanafunzi mkoani kagera kukusuduia .
Katika picha akiwa eneo la mahakama anaoneka akitabasamu wakati mwalimu mwenzie akionekana kuficha sura yake.
Kitendo cha mwenzie kuficha sura inaonesha anajisikia vibaya kwa kutuhumiwa kosa la kitendo kinacho chukuliwa kama cha kikatili ktk jamii yetu.

Hali imeonekana tofauti kwa mwalimu mwenzie ambae anafurahi kwa tabasamu kama vile ni tukio la kawaida. Hii imepelekea kunipa hisia huenda huyu mwalimu ana tatizo flani linalopelekea hali hiyo.

Angalizo: Kesi ipo mahakamani hivyo tujizuie michango yoyote yenye kuingilia muenendo wa kesi mahakamani au kuingilia uhuru na haki za watuhumiwa.

Jionee mwenyewe kwenye picha ifuatayo:
MWALIMU%20MUUAJI.jpg

katika picha : Walimu shule ya msingi Kibeta katika manispaa ya Bukoba wakifikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kosa la mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi Sperius Eradius.
Picha kwa hisani ya IPPMEDIA.
Hivi huyu anatabasamu au ndivyo alivyoumbwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu hafurahii ndg bali haamini kilichotokea, hapo alipo amepigwa bumbuwazi moja hatari, si kila kitendo cha kutoa meno ni kucheka ama tabasamu.
tukubaliane tu kuwa shetani hana adabu ameamua kumuubua ndg mwalimu kwa wakati huuu. Nampa pole na familia yake yote.

Tatizo ya kuhukumu kabla ya mahakama.Yeye bado ni mtuhumiwa tu,ana haki kufurahia maisha
 
Muangalie macho sio meno. Pamoja na maoni yangu pia nakubaliana na wewe huenda ameshikwa na bumbuazi haamini kilichotokea.
 
Tatizo ya kuhukumu kabla ya mahakama.Yeye bado ni mtuhumiwa tu,ana haki kufurahia maisha
Umenena vyema kwamba huyu/hawa ni watuhumiwa tu na ndivyo nilivyo waita ktk bandiko langu.

Pengine hoja yangu inaweza kumsaidia akaenda kupimwa afya ya nanii ikaonekana hayuko sawa na akapata ahueni ktk kesi yake. Ichukulie hoja yangu kama chanya kwa upande wake.
 
Umetafsiri vibaya mkuu huyo jamaa ni kama Ngiri,akinuna meno nje akifurahi meno nje.
 
Kisaikolojia ameshakubaliana na kilicho mbele yake na ameamua mambo yawe jinsi yatakavyokuwa!!!!....

Hii imempunguzia mzigo wa msongo wa mawazo....na kuacha akili kuwa huru kufikiria hali iliyopo mbele yake kwa weledi..!!!

Watu wengi huathiliwa na mashaka na hofu hata kuliko tatizo lenyewe!!!!
 
Back
Top Bottom