Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,729
- 8,806
Kama title inavyojieleza
Nauliza tu kesi ya huyu jamaa vipi?
Tangu alipopelekwa mahakamani na kushtakiwa kwa kuwajeruhi watu wasiojulikana then kuachiwa kwa dhamana na kukamatwa tena kisha kupewa kesi ya uhujumu uchumi,sijasikia tena kesi yake inavyokwenda
Mnijuze.