Sheria ya bar,groceey,na club muda wa kufunga

Sheria ya bar,groceey,na club muda wa kufunga

mtama one

Senior Member
Joined
Mar 27, 2017
Posts
109
Reaction score
47
Nisaidieni sheria ya.ufungaji wa baa hivi sheria ya ufungaji ni ya nchi nzima au inajitegemea kila halmashauri hapa jimboni kwa aliekuwa waziri wa habari,utamaduni sanaa na michezo watu hawalali ni muziki hadi asubuhi ,polisi ,serikali i ya kijiji ipo hakuna hatua inayochukuliwa
 
sheria imepitwa na wakati japo siungi mkono makelele bar nying dar zina zuna vichumba ambavyo md ukiisha wateja wanaingia humo. kero yangu naduka ambalo usiku mauzo yanakuwa poa kuliko mchana ila usbufu wa askari baada ya saa tano serikali iangalie hili watu watafute 24 kama uwezo upo
 
Back
Top Bottom