Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Moja ya waliofariki MV Nyerere ni Ndugu au Jamaa wa karibu wa Mwl. Iddi Tlaghasi Hera, sifahamu Shule anayofundisha hapo Arusha,ila kama unamfahamu plz niPM namba zake. Marehemu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimetonywa kuwa kiburi cha hawa maafisa wa serikali Leo kimekutana na kigingi huko Mwanza baada ya Mkurugenzi wa Habari na Maelezo Dr Abassi kuachwa solemba na Waandishi wa Habari. Habari ambazo...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
WANAWAKE wawili ambao ni mtu na shangazi yake, Kija Lushanga (70) na Pendo (40) ambaye jina la baba yake halikufahamika mara moja wamekutwa wamefariki dunia huku viungo mbalimbali vya miili yao...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwanza poleni watanzania wote kwa kufikwa na janga hili kubwa lililositisha ndoto nyingi za wana Ukerewe. Tunapopiga kelele juu ya usimamizi mbovu wa kivuko je kwanini tunasahau waliofanya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Yaani sitokula samaki yeyote anaevuliwa ziwa victoria maana nitakuwa na maombi maalum ya kuwaombea ndugu jamaa na marafiki waliofariki. Amen.
8 Reactions
96 Replies
9K Views
Nawatafuta jamaa zangu Ndg. Johnson Magawa, Godfrey Pallangyo na Pantaleo Zacheo(aka Mkangara) pamoja na George Kafuka nilisoma na kumaliza nao Astashahada ya Ufugaji Nyuki katika Chuo cha Nyuki...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habàri wana JF. Kwanza nitoe pole kwa kila alieguswa na msiba huu mkubwa kwa Taifa letu. Pia nitoe lawama zangu kwa Aliesitisha Uokoaji eti kwa kuhofia giza. Leo nimesafiri na Baba yangu mzazi...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Baada ya ‘ Mpendwa Mamlaka ‘ juzi kutoa ‘ Fumbo ‘ kwa Mwenzake kwa ‘ Kutupia ‘ picha ya Gari aina ya Benz KuuKuu / Chakavu ikiwa imekwama kwa Siku nne ( 4 ) sasa na kumtaka mwenye nayo akaichukue...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Wajuzi Naomba kujuzwa kuhusu utajiri, kujikimu, kuwa na milioni kadhaa kwa akaunti, nyumba kadhaa, magari kadhaa, biashara kukunyookea, baada ya kusaka kwa muda Ni baati Ni mipangilio ya kazi...
7 Reactions
55 Replies
7K Views
Naomba msaada wa namna ya kupata zip-code, nilikuwa najisajiri kwenye website fulani nimeshindwa kuendelea next step sababu ya kukosa hiyo zip code.... My location Dodoma
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapo vip! Jana nilifanya muamala fulani wa kutoa pesa zangu kupitia PESAFASTA katika Bank ya NMB lakini baada Ya pesa kutoka kwenye account yangu Ya bank then nikapata sms Ya confirmation yenye...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Leo nilikuwa sehemu fulani ni ofisi ya serikali,nikawa naangalia kisanduku kimeandikwa ''SANDUKU LA MAONI''hivi kuna mtu kweli huwa anatoa maoni yeyote kwenye haya masanduku na kufanyiwa kazi?ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kwanza niwe muwazi kwamba sijui lolote kuhusu mambo ya ndani ya maji, hata ikitokea siku nikirushwa ndani ya maji nahisi nitateremka chini kama jiwe. Niende kwenye mada au swali...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Waungwana nimekuja kwenu kutaka ushaur,nina binti amehitimu Form 4 na kwa bahati mbaya hakuchaguliwa kuendelea kidato cha 5 kama ambavo mimi nilivyotarajia. Sasa basi nikiwa mzazi inaniumiza...
0 Reactions
2 Replies
595 Views
Soko la biashara ya nyama maarufu la 'malapulapu', limeshika kasi katika machinjio ya nyama Ukonga Mazizini jijini Dar es Salaam, baada ya wafanyabiashara wa Kichina kuanza kuinunua kwa wingi ili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watanzania bhana yaani hata Maziko bado na bado Miili mingine inaendelea Kutafutwa Ziwani tayari Watu ndani ya Saa 24 wameshatunga Wimbo ili kuja ' Kupiga ' Hela. Jamani ' sometimes ' muwe mnaona...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habar za mda huu, Nimenunua plot maeneo fulani hapa dar ila napata tabu jinsi ya kubadilisha jina ya mmiliki wa eneo, Ni hatua gani natakiwa nizifate ili niweze kubadilisha jina. Nina mikataba...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Habari wana forum nimemsikia Rais akitangaza siku 4 za kitaifa za maombolezo. Je, Sherehe za individuals au za makundi ie send off, kitchen party , wedding, kipaimara bado zitaendelea kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumai wakristo wanasherekea dominika nyingine katika calender ya shajara huku waislamu nao wakipumzika kusubiria wiki ianze tupambane kutafuta ugali wa familia. Kuna jambo linasikitisha sana...
6 Reactions
113 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…