Jinsi ya kubadilisha jina la Hati

Jinsi ya kubadilisha jina la Hati

Big Dy

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
496
Reaction score
615
Habar za mda huu,
Nimenunua plot maeneo fulani hapa dar ila napata tabu jinsi ya kubadilisha jina ya mmiliki wa eneo, Ni hatua gani natakiwa nizifate ili niweze kubadilisha jina. Nina mikataba yote ya mauziano
 
Fafanua ina Hati ya aina gani? Tittle deed au offer? Bila kukupotezea muda nenda na nyaraka ulinazo Manispaa husika kilipo kiwanja , Mwone Afisa Ardhi atakupa taratibu zote za ubadilishwaji na kisha kukumilikisha.Ila msihi asitake rushwa PCCB wako kiganjani
 
Habar za mda huu,
Nimenunua plot maeneo fulani hapa dar ila napata tabu jinsi ya kubadilisha jina ya mmiliki wa eneo, Ni hatua gani natakiwa nizifate ili niweze kubadilisha jina. Nina mikataba yote ya mauziano
Ni rahisi kufika mbinguni kuliko hili unaloliulizia.
 
Kweli....kweli kabisa...unaweza kuambiwa unaona saini zinatofautiana katika hati na mkataba?hahahaha hawa jamaa banaa mtafute tena aliekuuzia,au ukaambiwa kafanye Official search kisa uje,au ukaambiwa ngoja tukakithaminishe hicho kiwanja chako tujue tutakutoza kodi kiasi gani? ili tujue thamani halisi ya kiwanja chako tupe muda njoo siku flani...nk,nk
Hawa jamaa ni nomaa Aisee hawakosi sababu....
Ahhh nimesahau pia tunafuatiliafaili lako liko kwa....
 
Mi mi nyumva yangu plot sikufa ya transfer na mmuzaji ni marehemu kwa sasa basi hiyo keeo yake acha kabisa, eti wananiambia nifuatilie hati kwa jina la marehemu mpaka itoke ndio nibadili jina shenzi kabisa hawa.
 
nenda kwa afisa ardhi kuna fomu inajazwa mahakamani au kwa mwanasheria, kisha utairudisha ardhi tra wachukue chao process ziendelee, valuation ya thamani ya viwanja ni kama unavoagiza gari nje, kila eneo lina thamani yake tayari.
 
Sambamba na hilo vipi kuhusu kubadili uwanja matumizi?
 
nenda kwa afisa ardhi kuna fomu inajazwa mahakamani au kwa mwanasheria, kisha utairudisha ardhi tra wachukue chao process ziendelee, valuation ya thamani ya viwanja ni kama unavoagiza gari nje, kila eneo lina thamani yake tayari.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom