Hii ndio suluhisho pekee la kutokurudia tena chaguzi kwa siku za baadae na badala yake pesa itapelekwa ktk shughuli zingine.

silver_back

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
841
1,000
Maja kwa moja kwenda katika mada. Ingawa ccm ndio wamekuwa wakillaamikiwa juu ya wagombea wanaohama vyama vya upinzani, ila mchawi mkubwa ni vyama vya upinzani hasa chadema.
Sijaona mbunge wa ccm ambaye yuko mjengoni akitoka ccm na kwenda upinzani. Hivyo ni wazi wabunge wa upinzani ndio wahamaji.
Uhamaji huu unasababisha chaguzi kurudiwa na kusababisha pesa ambayo ingetumika ktk shughuli zingine za maendeleo ipelekwe kwenye chaguzi.
Watanzania ifike wakati tutambue kuwa vyama vya upinzani haviko makini kwenye kuchagua wateule wake wa kugombea ubunge.

Solution ni KUTOCHAGUA TENA WABUNGE WA UPINZANI HASA CHADEMA MAANA WAO KIUKWELI NDIO WANAOTUGHARIMU. TUCHAGUE WA CCM AMBAO HAWAHAMI HAMI na kutugharimu sisi walipa kodi. Tunakosa huduma zingine sababu yao. Tuachane nao.
 
mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,232
2,000

Mkuu akili ndogo sana juzi tuu umesikia wenyeviti wa serikali za vijiji wanalazimishwa kujiuzulu na kujiunga na ccm , bw.Mnyeti alirekodiwa anataka kuwahonga madiwani wajiuzulu chadema halafu unazungumzu upuuzi?
 
wildfish

JF-Expert Member
May 28, 2014
867
500

poa tumekusikia.
 
silver_back

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
841
1,000
Mkuu akili ndogo sana juzi tuu umesikia wenyeviti wa serikali za vijiji wanalazimishwa kujiuzulu na kujiunga na ccm , bw.Mnyeti alirekodiwa anataka kuwahonga madiwani wajiuzulu chadema halafu unazungumzu upuuzi?
Ndio maama hawafai, kwa nini wengine wakubali? Ni tatizo la chama ktk vetting yao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom