Hatuna album kali ya Don Moen kama I believe There's more

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,533
Hii album unaweza isikiliza kila wakati na usichoke. Jamaa kweli ni No1 International praiser.

Hail to the king, You'll be my song, God of Abraham, Painter of the sky. aaah Don noma.
 
Kama kawaida ya wanadamu huwa tunaagalia udhaifu wa mtoa mjumbe. Nilipoangalia avata yako hata kile nilichotaka kuandika kikayeyuka chenyewe
 
Andika tu mtumishi kiujazacho moyo ndicho humtoka...kwangu zimejaa sifa za Muumba kupitia Don na nimezitema hapo.Nawe Tema tu ulichonuia.
 
Back
Top Bottom