Msaada wenu wataalamu wa ujenzi Unahitajika

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Naomba msaada wa makadirio ya gharama za jengo kama hili, Batiu nitatumia za kawaida sio hizo za kisasa bsana
BANDA 3.jpg
 
Mkuu unaweza kunitumia kwa email yangu nifanye estimation but naomba mchoro uwe katika program yaan Auto cad or Arch cad ili rahisi kupata dimension ,
Namba or email nakupa ukija pm
Angalizo : ni estimations hivyo inaweza kushabihiana au kutofautiana kidogo kutokana na
1. Sijaiona site husika hivyo sijui nature ya location 1.e slope, water table
2. Material bei hutofautiana maana hubadilika kila uchao
 
Ok nakucheck PM
 
Back
Top Bottom