Ni masikitiko yangu makubwa kwa kila ajali ya usafiri wa majini unapopata ajali, utasikia taarifa za chombo kilikuwa kimebeba kupitiliza uwezo wake. Nikianza na tukio la kuzama kwa MV BUKOBA mwaka...
Hivi huwa inakuwa kuwaje mpaka mtu anafikia maamuzi ya kuoa ? Hizo story huwa anazianzishaga Nani? Me au Ke ?
I say yani kwa jinsi nilivyo kuwa serious, huyo mwanamke anaanza anzaje kuniambia...
Tunapata taarifa nyingi kila siku from many sources, the media especially.We are actually bombarded by information.But are we knowledgeable enough or diagnostic enough to know whether the...
Habari za usiku wanabodi.Najua sote tuko kwenye maombolezo ya wahanga wa Mv Nyerere.Walale pema wote.Bwana alitoa na bwana ametwaa.
Baada ya hayo kuna jambo nimekuwa nalifikiria kwa kipindi...
Ni kweli mmeshindwa kuweka mshumaa ambao uko animated na sio static hivi yaani umekatwa tu kisha ukapachikwa hapo kwenye screen, aisee hebu kuweni na taste,mnatutia aibu yaani hapo TBC watu wa...
Idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichozama juzi mchana Septemba 20, 2018 imefikia 196, miili 60 imeopolewa kwa leo hadi muda huu na uokoaji bado unaendelea...
Ni wajibu wa Serikali kuwalipa fidia wahanga wote waliopoteza maisha na mali zao katika ajali ya Mv Nyerere sababu hichi kivuko ni mali ya Serikali na nina imani kimekatiwa Bima kama sheria...
Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola, amewasili katika eneo la tukio kilipozama kivuko cha Mv Nyerere huko Ukara Ukerewe mkoani Mwanza.
Lugola ametokea mkoani Kigoma ambapo amesitisha ziara...
Zaidi ya tani hamsini za zao la Zabibu katika kijiji cha Mpunguzi mkoani Dodoma zimeozea mashambani kutokana na kukosa uhakika wa soko na viwanda vya ndani vya kutengeneza Mvinyo vikielemewa hali...
Timu ya Uongozi wa CCM yenye wajumbe sita inayoongozwa na Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga na Ndg. Humphrey Polepole ambao ni Wakuu wa Idara CCM Makao Makuu, tayari imewasili na kuweka Kambi Mkoani...
RIP marehemu wote waliofariki na MV Nyerere! Amina .
Kwa umri nao , umeridhika na aina na status ya maisha uliyoishi wewe, familia yako, wazazi wako na wanaokuzunguka ? Upo sahihi au haupo...
ushuda wangu nakumbuka Siku moja nilitekwa na vibaka nchini zambia nilikuwa naenda kupanda treni ya TAZARA nirudi bongo baada ya kumaliza Moshe zangu ili kuwa usiku so walinipola kila kitu iila...
Haki ya Mungu kunawatu mnahitaji toba. Watu mliowadhihaki waliokufa maji huko Ukara eti wameshindwaje kuogelea mita 50 tu. hamjui nini maana ya chombo cha majini kupinduka majini, hili ni tukio...
Zitto Kabwe ni nani mpaka aseme kwamba ana uhakika kuwa Jeshi la Wanachi la Tanzania ( JWTZ ) lina Vifaa ' Maalum ' vya Kijeshi vya Uokoaji ila anashangaa kuona halijahusishwa kikamilifu katika...
Wakati tunaendelea na maombolezo, mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ikulu ndugu Gerson Msigwa amefafanua kauli ya Rais kuhusu siku nne za maombolezo zilizoanza siku ya Ijumaa Mpaka Jumatatu.
Katika kuitikia wito wa HAPA KAZI TU napendekeza ofisi zote za umma ziwe wazi kuhudumia wananchi mpaka jumapili. Ili kufikia mapinduzi ya viwanda.
**Viwanda vipya 52,000 havitoshi kusema sisi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.