Hivi ni tabia gani hua inakukeraa tena sana hasa humu jamii
Muda wako Leo funguka kabda wataacha
we dada nadhan nshawah kukuta mbeya unakunywa chai na maandazi mawili na kikombe kilikua cheupe ... Mi ndo yule mkaka niliyekuomba namba ukanipa namba ya dingi ako looh sikusahau ujuemtu kujifanya anakujuuuua..mxieww
we dada nadhan nshawah kukuta mbeya unakunywa chai na maandazi mawili na kikombe kilikua cheupe ... Mi ndo yule mkaka niliyekuomba namba ukanipa namba ya dingi ako looh sikusahau ujue
Mi huwa nachukia unakuta jitu jeusii tiii linawah sitiYule anayepost wa kwanza halafu anasema "amewahi siti anasubiri wadau waje wachangie" huo ni ufandimbo.
Asante mkuu maana wewe hujachangia hapaNyie wote mliochangia hapa ni wehu kweli kweli!
Watu kuanzisha post kama hii yakoHivi ni tabia gani hua inakukeraa tena sana hasa humu jamii
Muda wako Leo funguka kabda wataacha
Kijana wa pole pole huyoKwanza utambue hakuna serekari tukufu!!