Hivi TBC ni kwamba hamnae mtu wa Graphics au ndio mmezoea vitu duni

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
Ni kweli mmeshindwa kuweka mshumaa ambao uko animated na sio static hivi yaani umekatwa tu kisha ukapachikwa hapo kwenye screen, aisee hebu kuweni na taste,mnatutia aibu yaani hapo TBC watu wa Programming wanaruhusuje vitu duni kwenda hewani...mnakwaza kinoma.
Ona hilo mshumaa umekatwa tu na kuwekwa hapo hovyohovyo.
20180922_101634.jpeg
 
Mambo Mengi Sana Shida Sana YaaniHapo Kwenye Shirika Kuna Tatizo Kubwa Limelelewa
 
Hili shirika lipo lipo tu.

Yaan hapo walipo wanajiona ndo safar imeishia hapo.

Picha zao ukungu mwng
 
Hapo ni live na wana OB van ya kisasa sijui tatizo liko wapi...picha ziko dull sana hazivutii kutazama.Dr Ryoba huu mtihani unapaswa kufaulu, yaani shirika linatuangusha kwenye eneo la QUALITY services
1537601606713.jpeg
 
Hapo ni live na wana OB van ya kisasa sijui tatizo liko wapi...picha ziko dull sana hazivutii kutazama.Dr Ryoba huu mtihani unapaswa kufaulu, yaani shirika linatuangusha kwenye eneo la QUALITY services View attachment 874206
Huyo naye siku hizi amekuwa mwanasiasa tu kila leo ni kuisemea serikali, jukumu lake limemshinda siku nyingi!!! Kweli njaa inatishaa, jamaa wakati yupo pale mlimani alikuwa ni msomi mwenye hoja nzito ila leo hadi huruma!!! Na skafu kubwa shingoni yeye bendera ya taifa!! Eti ndio uzalendo!! Uzalendo wa mtu upo moyoni kama sio rohoni!!! Kuna watu wenye uzalendo na taifa lao kuliko wa Israel?? Mbona hukuti wamejipamba mi bendera kila sehemu???
 
Ni kweli mmeshindwa kuweka mshumaa ambao uko animated na sio static hivi yaani umekatwa tu kisha ukapachikwa hapo kwenye screen, aisee hebu kuweni na taste,mnatutia aibu yaani hapo TBC watu wa Programming wanaruhusuje vitu duni kwenda hewani...mnakwaza kinoma.
Ona hilo mshumaa umekatwa tu na kuwekwa hapo hovyohovyo. View attachment 874197
Kwani mamishumaa ndo nini?

We kama una roho mbaya hata uweke mamishumama mia bado haibadilishi.

Mishumaa Iná maana gani zaidi ya kuiga uzungu na tamaduni zao za kanisa?

Kwa wasio wakristo sijuwi mshumaa una maana gani kwao
 
Naongelea ubora wa graphical work, haya mengine nadhani yanafaa ukiyaanzishia uzi. OP.
Kwani mamishumaa ndo nini?

We kama una roho mbaya hata uweke mamishumama mia bado haibadilishi.

Mishumaa Iná maana gani zaidi ya kuiga uzungu na tamaduni zao za kanisa?

Kwa wasio wakristo sijuwi mshumaa una maana gani kwao
 
Huyo naye siku hizi amekuwa mwanasiasa tu kila leo ni kuisemea serikali, jukumu lake limemshinda siku nyingi!!! Kweli njaa inatishaa, jamaa wakati yupo pale mlimani alikuwa ni msomi mwenye hoja nzito ila leo hadi huruma!!! Na skafu kubwa shingoni yeye bendera ya taifa!! Eti ndio uzalendo!! Uzalendo wa mtu upo moyoni kama sio rohoni!!! Kuna watu wenye uzalendo na taifa lao kuliko wa Israel?? Mbona hukuti wamejipamba mi bendera kila sehemu???
Yan huyo baba kawa msemaj wa jpm na chama, wakat shirika linakufa. Vipindi vinarudiwa mwez mzima, picha mbaya, watamgazaj wa habar ndo vituko kabisa bora yule mramba na zakaria, walio baki ni changamoto. Ndomana hawapat wadhamin, yan inaboa sana then mnalazmisha watu waangalie. Huyo Mr Ryoba ajitafakar jukumu lililompeleka pale Mana anaacha kaz zake anafanya yasiyo mhusu
 
Ni kweli mmeshindwa kuweka mshumaa ambao uko animated na sio static hivi yaani umekatwa tu kisha ukapachikwa hapo kwenye screen, aisee hebu kuweni na taste,mnatutia aibu yaani hapo TBC watu wa Programming wanaruhusuje vitu duni kwenda hewani...mnakwaza kinoma.
Ona hilo mshumaa umekatwa tu na kuwekwa hapo hovyohovyo. View attachment 874197
Ndio madhara ya kuwapa kazi uvccm.
 
Back
Top Bottom