Nasubiri kwa hamu sana maamuzi ya JWTZ dhidi ya ' Twiti ' ya Zitto Kabwe kwa kuvitaja vifaa vyao vya Siri Ngerengere

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,876
Zitto Kabwe ni nani mpaka aseme kwamba ana uhakika kuwa Jeshi la Wanachi la Tanzania ( JWTZ ) lina Vifaa ' Maalum ' vya Kijeshi vya Uokoaji ila anashangaa kuona halijahusishwa kikamilifu katika kuvitumia ili kuweza Kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu katika Ajali ya MV Nyerere.

Ninavyojua ni kwamba Kutaja hovyo tena hadharani Vifaa vya Kijeshi ni sawa sawa na Kuuza Siri kwa Maadui wa Tanzania na kibaya zaidi Zitto Kabwe mwenyewe katika ' Twiti ' yake amekiri kabisa kwamba anajua na ana uhakika kuwa JWTZ wana hivyo vifaa katika Kambi yao tena ' Nyeti ' kabisa ya Ngerengere Mkoani Morogoro.

Sasa kama Zitto Kabwe anadhani kuwa JWTZ ni sawa sawa na Cyprian Musiba Kazi anayo na kama vile nawaona sasa JWTZ jinsi wanavyojipanga ili kuweza Kumfundisha adabu kwa kuwa na ' Kiherehere ' cha hadi kutaja Vifaa vyao Kinyume kabisa na Maadili na Utaratibu wao.

Kazi ipo hakyanani!

Nawasilisha.
 
Mchonganishi wewe.Vifaa vya kijeshi huonyeshwa hadharani kila siku.
 
nchi hii sheria zote zilichukuliwa na kimbunga tangu October 2015.

tafakari!!
 
Vifaa vya jeshi na wanajeshi?
kuna nchi zinajivunia na kila matukio ya majanga yanapotokea wao ndio huwa wa kwanza kusaidia mpaka wengine wanabebwa mgongoni na wajeda

Wapo tuliopitia hizi shughuli na tumeziona sana

Makosa yanatokea sana kwetu na ukosoaji mwingi
Mbona hata Philippines majanga yakitokea tunaona wanavyonyanyua watu kwa helicopter?
 
Zitto Kabwe ni nani mpaka aseme kwamba ana uhakika kuwa Jeshi la Wanachi la Tanzania ( JWTZ ) lina Vifaa ' Maalum ' vya Kijeshi vya Uokoaji ila anashangaa kuona halijahusishwa kikamilifu katika kuvitumia ili kuweza Kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu katika Ajali ya MV Nyerere.

Ninavyojua ni kwamba Kutaja hovyo tena hadharani Vifaa vya Kijeshi ni sawa sawa na Kuuza Siri kwa Maadui wa Tanzania na kibaya zaidi Zitto Kabwe mwenyewe katika ' Twiti ' yake amekiri kabisa kwamba anajua na ana uhakika kuwa JWTZ wana hivyo vifaa katika Kambi yao tena ' Nyeti ' kabisa ya Ngerengere Mkoani Morogoro.

Sasa kama Zitto Kabwe anadhani kuwa JWTZ ni sawa sawa na Cyprian Musiba Kazi anayo na kama vile nawaona sasa JWTZ jinsi wanavyojipanga ili kuweza Kumfundisha adabu kwa kuwa na ' Kiherehere ' cha hadi kutaja Vifaa vyao Kinyume kabisa na Maadili na Utaratibu wao.

Kazi ipo hakyanani!

Nawasilisha.
Nadhani Zito alimaanisha kuwa Ngerengere kuna, Vifaa yaani Makomandoo wa kutosha kuokoa ndugu zetu fasta bila kuchoka katika mazingira yoyote.

Madhani ndio maana yake.
Tusipende sana kukuza vitu vidogo ili tu kujenga mtafaruku . Hakuna siri yoyote iliyovuja kokote.
Jeshi letu lipo imara haliwezi kupata tishio kwa kauli nyepesi kama hiyo ya Zito tena ya kulisifu.

Na pia karne hii hakuna adui tena anayehangaika na silaha mdogo ndogo .
Jeshi duniani lipo Magharibu ,yaani Marekani na Washirika wake na Mashariki ,yaani China ,Urusi na Korea ya Kaskazini. Hao ndio matishio ya usalama wa dunia. Hao wengine ni njaa tu hakuna mtu wa kuingia gharama kuvamia nchi nyingine wakati uchumi wake ni tia maji tia maji.

Majeshi mengine duniani hasa kwenye nchi changa ni ya kusimamia uchaguzi,kusindikiza masanduku ya kura tu na kurusharusha kichura raia wao ambao ni walipa kodi kichura!Wasubiri wanasiasa wanasemaje.
 
Zitto Kabwe ni nani mpaka aseme kwamba ana uhakika kuwa Jeshi la Wanachi la Tanzania ( JWTZ ) lina Vifaa ' Maalum ' vya Kijeshi vya Uokoaji ila anashangaa kuona halijahusishwa kikamilifu katika kuvitumia ili kuweza Kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu katika Ajali ya MV Nyerere.

Ninavyojua ni kwamba Kutaja hovyo tena hadharani Vifaa vya Kijeshi ni sawa sawa na Kuuza Siri kwa Maadui wa Tanzania na kibaya zaidi Zitto Kabwe mwenyewe katika ' Twiti ' yake amekiri kabisa kwamba anajua na ana uhakika kuwa JWTZ wana hivyo vifaa katika Kambi yao tena ' Nyeti ' kabisa ya Ngerengere Mkoani Morogoro.

Sasa kama Zitto Kabwe anadhani kuwa JWTZ ni sawa sawa na Cyprian Musiba Kazi anayo na kama vile nawaona sasa JWTZ jinsi wanavyojipanga ili kuweza Kumfundisha adabu kwa kuwa na ' Kiherehere ' cha hadi kutaja Vifaa vyao Kinyume kabisa na Maadili na Utaratibu wao.

Kazi ipo hakyanani!

Nawasilisha.
Acha kutishia kwani kataja aina ya vifaa walivyonavyo?
 
Jamaa huwa anajifanya anajua sana kutukana huyu ni wa kuvutia kasi tusi moja mpaka unapigwa na ban. Jamaa chochezi sana hili anachotaka ni kuona Mh Zitto anaguswa ili aone nini atafanya kwa kudhani Zitto ni mshirikina.
 
Zitto Kabwe ni nani mpaka aseme kwamba ana uhakika kuwa Jeshi la Wanachi la Tanzania ( JWTZ ) lina Vifaa ' Maalum ' vya Kijeshi vya Uokoaji ila anashangaa kuona halijahusishwa kikamilifu katika kuvitumia ili kuweza Kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu katika Ajali ya MV Nyerere.

Ninavyojua ni kwamba Kutaja hovyo tena hadharani Vifaa vya Kijeshi ni sawa sawa na Kuuza Siri kwa Maadui wa Tanzania na kibaya zaidi Zitto Kabwe mwenyewe katika ' Twiti ' yake amekiri kabisa kwamba anajua na ana uhakika kuwa JWTZ wana hivyo vifaa katika Kambi yao tena ' Nyeti ' kabisa ya Ngerengere Mkoani Morogoro.

Sasa kama Zitto Kabwe anadhani kuwa JWTZ ni sawa sawa na Cyprian Musiba Kazi anayo na kama vile nawaona sasa JWTZ jinsi wanavyojipanga ili kuweza Kumfundisha adabu kwa kuwa na ' Kiherehere ' cha hadi kutaja Vifaa vyao Kinyume kabisa na Maadili na Utaratibu wao.

Kazi ipo hakyanani!

Nawasilisha.
Vitisho kama hivi pelekea watoto wako nyumbn au uko kijijini kwenu wanaokusikiliza na kukuona ww unajua kila kitu
 
Zitto Kabwe ni nani mpaka aseme kwamba ana uhakika kuwa Jeshi la Wanachi la Tanzania ( JWTZ ) lina Vifaa ' Maalum ' vya Kijeshi vya Uokoaji ila anashangaa kuona halijahusishwa kikamilifu katika kuvitumia ili kuweza Kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu katika Ajali ya MV Nyerere.

Ninavyojua ni kwamba Kutaja hovyo tena hadharani Vifaa vya Kijeshi ni sawa sawa na Kuuza Siri kwa Maadui wa Tanzania na kibaya zaidi Zitto Kabwe mwenyewe katika ' Twiti ' yake amekiri kabisa kwamba anajua na ana uhakika kuwa JWTZ wana hivyo vifaa katika Kambi yao tena ' Nyeti ' kabisa ya Ngerengere Mkoani Morogoro.

Sasa kama Zitto Kabwe anadhani kuwa JWTZ ni sawa sawa na Cyprian Musiba Kazi anayo na kama vile nawaona sasa JWTZ jinsi wanavyojipanga ili kuweza Kumfundisha adabu kwa kuwa na ' Kiherehere ' cha hadi kutaja Vifaa vyao Kinyume kabisa na Maadili na Utaratibu wao.

Kazi ipo hakyanani!

Nawasilisha.
Naomba kujua kama masaa yaliisha na lipi ni mwendelezo kuhusu musiba naZitto
 
Swali LA mtoa mada halina mashiko,

JWTZ huwa wana kikosi cha NAVY&Marine Squad.

Hawa ndo shughur zao za sekeseke za kwny maji.

Itakua ajabu jeshi limiliki boti za majini halafu likose maboya ya kuokolea watu.

Itakua ajabu jeshi limiliki boti ya majini, likose tochi ya kumulikia majini.
 
Hivi kwanini wanya-rwanda mnawashwa washwa sana na Tanzania?!

Kwasababu wenyewe wenye nchi yenu ' mmezubaa ' mno na mnachojua tu ni Diamond na Ali Kiba au Zari na Mobetto wakati ' Wanamume ' tuko ' busy ' tunajenga Rwanda yetu na kujipangia zaidi mikakati ya kuja Kuitawala kabisa Afrika Mashariki yote iwe chini ya Tutsi na Hima Empire.
 
Kwahiyo kama vipo na ana uhakika unaona kipi bora kusema hasa kwa uchungu baada ya ndugu zetu 124 kufa
 
Back
Top Bottom