Dulex
Member
- Sep 21, 2018
- 11
- 13
ushuda wangu nakumbuka Siku moja nilitekwa na vibaka nchini zambia nilikuwa naenda kupanda treni ya TAZARA nirudi bongo baada ya kumaliza Moshe zangu ili kuwa usiku so walinipola kila kitu iila nilipo ripoti police WA kule nilipokelewa vizuri na mdada hivi akanipa fedha ya kula pia akanitafutia basi zuri nikapanda buree mpaka tunduma hakika niliuona mkono waMungu ujiniokoa JE WEWE unaushuhuda gani wakusema asingekuwa Mungu sjui ingekuaje.lengo ni kujifunza na kutiana moyo.NB: ukitukana ujue unajitukana ukitufundisha ujue unajifunza