UKISTAAJABU YA MBOWE UTAYAONA YA ZITO:

UKISTAAJABU YA MBOWE UTAYAONA YA ZITO:

Egnecious

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
899
Reaction score
999
UKISTAAJABU YA MBOWE UTAYAONA YA ZITO;

Binafsi nianze kwa kutoa pole nyingi kwa Rais wa nchi yetu Dr.John Pombe Magufuli kwa niaba ya watanzania wote kutokana na msiba mzito uliolikumba taifa letu kutokana na ajali ya kivuko cha Mv.Nyerere iliyotokea Tarehe 20 ya mwezi huu siku ya Alhamis huko kisiwa cha Ukara Ukerewe.

Msiba huu umegusa hisia za watanzania wa ndani na nje ya nchi ni msiba uliotuweka pamoja kama nchi katika kutafakari kilichotokea na ni msiba ambao umewavuta marafiki zetu kuja kutufariji nchi mbalimbali zimetuma salaam za pole na rambirambi kwa Rais wetu wakiwemo majirani zetu wa Kenya,Kongo,Uganda,Rwanda,ndugu zetu wa Zanzibar,Urusi nk.

Pamoja na salaam hizo za pole kwa Rais na watanzania lakini nitoe pole nyingi kwa familia za marehemu zetu mwenyezi Mungu awape nguvu na ujasiri ndugu,jamaa na marafiki wa marehemu zetu wote katika kipindi hiki kigumu na cha mpito. Lakini pia Mwenyezi Mungu akapate kuzirehemu roho za marehemu zetu na kuzilaza mahali pema peponi..Aamina.

Taifa letu likiwa linapitia mtihani huu wamejitokeza baadhi ya watanzania wanasiasa wasiolitakia mema taifa letu ima kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wamekuwa wakisikika katika mitandao ya kijamii na katika vyombo vya habari wakihusisha tukio hili na siasa... wao wamechagua furaha badala ya huzuni,tukio hili limekuwa chachu ya kuwajua rangi zao halisi kuwa nchi yetu ina viumbe wa aina gani.

Wanasiasa hawa ni pamoja na Mh.Freeman Haikael Mbowe mbunge wa jimbo la Hai Kilimanjaro na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni lakini pia ni mwenyekiti wa chama cha upinzani cha chadema,amekuwa akisikika akiilalamikia serikali kuwa inahusika na ajali hii kwa namna moja ama nyingine bila haya na bila ya hofu amekwenda mbali zaidi kuwakataza wabunge,madiwani na viongozi mbalimbali wa chama chake kushiriki katika shughuli ya uokoaji wa miili ya wenzetu huko Ukereww na hata kushiriki mazishi ya wenzetu hii leo,Tumeshindwa kujua ndg.Mbowe amepatwa na kichaa ama ni majani ya Arusha anayovuta? Kwa sababu jimbo la ukerewe ambapo kuna mbunge wa chadema ndipo misiba hii ilipotokea halafu yeye na viongozi wenzake wameamua kwa maksudi kumsusia mwenzao msiba huu sasa tunashindwa kuelewa ni kafara lao katika kunusuru anguko la chama chao?

Kama wasemavyo waswahili kuwa ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaun leo tunasema ukistaajabu ya Mbowe utayaona ya Zito,Muda mfupi uliopita Mh.Zito Zuber Kabwe mbunge wa Kigoma na kiongozi mkuu wa chama cha upinzani cha ACT wazalendo wakati taifa likiwa na maombolezo na shughuli za mazishi zikiendelea katika visiwa vya Ukara huko Ukerewe yeye ameamua kutumia muda huo na ukurasa wake wa Twiter kumdhihaki na kumfedhehesha Rais wa nchi lengo lake likiwa ni kuchochea hisia na kuibua hali ya taaruki katika jamii,kitendo cha Zito kuwashawishi mawaziri kupitia ibara ailiyoitaja ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ibara ya 37 ibara ndogo ya 2 ambapo kwa ufupi ibara hii inatoa ruhusa kwa baraza la mawaziri endapo litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya maradhi ya Mwili ama Akili laweza kuwasilisha kwa jaji mkuu azimio la kumwomba jaji mkuu athibitishe kwamba kwa sababu ya Maradhi ya Kiakili au kimwili hawezi kumudu kazi zake".

Ni vyema Zito akalieleza taifa kuwa ni nani aliyemuambia kuwa Rais ni ana maradhi hayo anayoyatilia shaka yeye? Ni vyema Zito akatueleza kuwa yeye ameona msiba huu mzito wa taifa hauna tija kwake zaidi ya kufanya uchochezi.

Inamaana Zito ameshindwa kujua kuwa taifa letu linapita kwenye janga,limepoteza nguvu kazi,nchi na watu wake ipo kwenye majonzi,Rais wa nchi ambaye ndiye Raia namba moja,Amir jeshi mkuu na mkuu wa nchi kama alama ya nchi yetu yupo kwenye kipindi cha huzuni na majonzi ya kupoteza watu wake? Ina maana Zito ameshindwa kulipa pole hata ya kinafiki taifa letu kupitia kwa Rais wa nchi?

Nashindwa kuamini kuwa ni kuchanganyikiwa kutokana na msiba huu au ni muendelezo wa dharau,kebehi na ujuha waliokuwa nao wapinzani wa nchi hii? Hivi ni lini viongozi wa upinzani wataweza kutofautisha mambo ya kisiasa na masuala ya kitaifa? Ni lini watabeba utaifa na uzalendo kwa nchi yao? Ni lini viongozi hawa hasa Zito kabwe atajitambua kuwa ni kijana anayepaswa kubeba maono ya kitaifa badala ya kubeba upofu na uzuzu wa akili?

Nadhani sasa hili janga la Mv.Nyerere limewapa picha watanzania ya kubaini viongozi wao na wauaji wao,ni tukio linalotoa fundisho kwa nchi kubaini wafia nchi na wachochezi,Zito huyu ndio yule tunayesikia eti anajiandaa kugombea urais wa nchi hii 2020 apambane na Rais Magufuli kupitia chama cha ACT wazalendo! Ama kweli nchi itakuwa imekosa wagombea wa upinzani wabeba maono,mimi nijuavyo Rais wa Nchi ni mfariji mkuu,ni muhimili,ni kila kitu katika nchi Zito kabwe sifa ya kuwa muhimili na kuwa mfariji mkuu hana zaidi yakuwa mzushi,ndumilakuwili,mchochezi,mfia madaraka,mnafiki na mchonganishi.

Baada ya siku nne za maombolezo ya Taifa letu nashauri vyombo vya ulinzi na usalama viwatafute Mbowe na Zito wakathibitishe wanayoyasema kwenye vyombo vya habari na katika Mitandao ya kijamii na watueleze yana nia na agenda gani kwa taifa letu,hatuwezi kuwa na watu wasiotambua nyakati za kusimama kama taifa,watu wasiojua wakati wakufanya siasa na wakati wakusimama kama viongozi kubeba maono ya watu wao kuwa sehemu ya watu wao.

Rai yangu kwa wanasiasa wote tutambue kuwa nafasi tulizonazo tuliomba ili kuwatumikia watanzania wanyonge na masikini wa nchi hii tuliahidi kushirikiana nao katika shida na raha zao ni vyema tukarejea yale tuliyowaahidi watanzania maana siku za kuhesabiwa matendo yetu zimekaribia,muache kuhararika na kutapatapa kutafuta mchawi wa matendo maovu mliyoyafanya ambayo leo yanawagharimu na kuviua vyama vyenu msidhani kuwa mchawi wenu ni Rais Magufuli lahasha ninyi ndio Alfa na Omega wa vyama vyenu mtaamua kuchagua afadhali ama potelea mbali maana kwa hali ilivyo sasa hamna namna tena mmeshachelewa mlizoea siasa za matukio mkashindwa kujua kuwa si kila tukio ni agenda.
 
Umemaliza?
 
Usihangaike na watu waliopoteza mwelekeo...
 
Mimi binafsi sijapenda kabisa hizi kauri na kejeri za wanasiasa kutolewa kabla hatujamaliza mazishi ya wapendwa wetu. Wangesubiri tumalize maombolezo na kuwahifadhi wapendwa wetu ndio waendelee na kejeri zao.
 
jamani ukichaa ajipe yeye akampa na luhaga, bado tumlaum zito kweli, kichaa mwenzangu kazidi jamani
 
Kila MTU ni kichaa kuna wengine ni vichaa wa maendeleo, kwamfano mm binafsi ni kichaa wa soka....lkn sio jambo jema kumdhihaki mtu bila medical proof.....
 
Mkuu wa Mkoa wa Iringa hujambo?

Nasikia una kauli mbiu ya Iringa Mpya bee
 
Rubbish! Ajali ya uzembe ni mtihani? Ukisikia maneno ya mpumbavu ndiyo haya,
 
Nchi ilipofikia sasa inabidi kuwa bubu tu maana ukiongea unapangiwa upande.
Mpaka sasa sijaona mwenye kosa... Kosa kubwa pekee inawezekana ni watu weusi kukusanywa sehemu moja kwa wingi.
But again...... what do I know.... OF IMPORTANCE IS life.
 
asee, tuheshimiane bhana, mimi ni mtanzania. Sio mnyonge na sio maskini! Hiyo kauli itengue!!!!!!!!!
 
Mshika paka na mkamua maziwa yake yasiyofaa kwa mtindi nani ubebeshwa lawama?
 
Watu wa Lumumba ni waajabu mpaka shetani mwenyewe anawashangaa, mtu na akili zake anatoa povu kama sabuni ya omo kwa watu ambao hawajahudhuria msiba badala ya kuwatolea mapovu wale waliokataa kutii ushauri waliopewa na mbunge ushauri ambao kama wangeutii wangeweza kuokoa maisha ya wananchi.
 
Watu wengine mnatakiwa mchunguzwe akili zenu isijeikawa mnawatoa wananchi kafara kwenye matambiko yenu, kwanini mnalalamika sana watu wasioenda kwenye mazishi badala ya kuwalalamikia wale waliosababisha vifo vya kizembe kwa wananchi? .
 
Umeanza vizuri mwisho unamalizia uharo....mmewauwa wananchi mtafutie kiki nyie ccm mungu anawaona....baba mwenyekiti sisi tunazika ukara yeye anapata chai na matrafiki ikulu huku wanabadilishana mawazo na jinsi yakuyapindua magari ya viongozi wa upinzani wawapo safarini....
 
Back
Top Bottom