Pamoja na masikitiko ya kupoteza wapendwa wetu ilikuwa jambo la busara kuhakikisha kuwa wahusika wa moja kwa moja wa kuhusiana na ajali hii ya MV Nyerere ndiyo pekee wanawajibishwa.
Kumwajibisha mtu aliye kuwa Dar es salaam kwa kujaza watu kupita kikomo kwa kivuko kilichopo Ukara itakuwa sio kutenda haki.
Wahusika hapa walikuwa hawa waliokuwa na kivuko hiki mikononi kwao hiki Ukara. Kuwalaumu wowote nje ya kilipoondokea kivuko hiki tutasimamia wapi?
Wahusika hapa walikuwa wakatisha ticket wa kivuko hiki wengine watakuwa (kwa maneno ya mh. Waziri Maanisha) ni "mbangusilo" tu.
Tutendeane haki tunapowaombea wapendwa wetu pumziko la amani.