Tujadiliane uokoaji wa watu katika ajali

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Hello JF

Naomba leo tujadiliane hili...

Kwanza poleni waTanzania kwa msiba huu mzito

swala la kuacha kuwaokoa watu kisa 'giza' limewaumiza wengi….

ila tusilaumu sana,ndio uwezo wao ulipofikia...

tujadili nini kifanyike ili tukipata tena janga hilo,then tutalishughulikia vizuri Zaidi...

Mie na suggest kwanza kiwekwe kitengo cha maafa,kitakachodeal na ajali sio za majini tu,hata moto mkubwa ukitokea then waweze kudeal nao…..

sasa hivi zimamoto nyingi ni za private companies,serikali itazame hilo..

hicho kitengo,kiwe na wanajeshi WENGI ambao watakua kila mkoa,na watakua TRAINED vizuri kukabiliana na majanga kama haya

pia,vifaa vya kuokolewa VIWE vingi na iwe sharia kwa vyombo vyote kuwa navyo,ikiwezekana kuwe na checks za mara kwa mara kuhakikisha vyombo vinatii amri hio...

lastly kuwe na five minutes training kwa wasafiri wote kujua basics za kujiokoa endapo ajali itatokea...
 
Utatuzi wa hili swala ni uzito unaopendekezwa kwenye chombo husika

Tamaa ya hela itaendelea kupoteza roho za watu kwa kutaka kubeba watu 500 badala ya 101 na Mizigo mizito sana
 
Hello JF

Naomba leo tujadiliane hili...

Kwanza poleni waTanzania kwa msiba huu mzito

swala la kuacha kuwaokoa watu kisa 'giza' limewaumiza wengi….

ila tusilaumu sana,ndio uwezo wao ulipofikia...

tujadili nini kifanyike ili tukipata tena janga hilo,then tutalishughulikia vizuri Zaidi...

Mie na suggest kwanza kiwekwe kitengo cha maafa,kitakachodeal na ajali sio za majini tu,hata moto mkubwa ukitokea then waweze kudeal nao…..

sasa hivi zimamoto nyingi ni za private companies,serikali itazame hilo..

hicho kitengo,kiwe na wanajeshi WENGI ambao watakua kila mkoa,na watakua TRAINED vizuri kukabiliana na majanga kama haya

pia,vifaa vya kuokolewa VIWE vingi na iwe sharia kwa vyombo vyote kuwa navyo,ikiwezekana kuwe na checks za mara kwa mara kuhakikisha vyombo vinatii amri hio...

lastly kuwe na five minutes training kwa wasafiri wote kujua basics za kujiokoa endapo ajali itatokea...
kitengo cha dharulula kipo hata sasa, ingawa wanatia mfuko wa dharula, kwa maoni yangu serekali ijitahidi kuwajibika kwa wananchi wake zaidi kuliko kufanya siasa.
 
is either hakitoshelezi meaning wako wachache kwenye hicho kitengo au wamekosa UTAALAMU
 
Kinachosikitisha hii sio ajari ya kwanza , sijui kwanini hatujifunzi kila siku..., hili nalo litapita na tutasahau.
 
is either hakitoshelezi meaning wako wachache kwenye hicho kitengo au wamekosa UTAALAMU
kikosi cha uokoaji kipo, lakini wengi wao wanavitambi ni noma...!! huwa nikiwaangalia nacheka peke yangu [emoji23][emoji23]
 
Mdau (nadhani) yawezekana ni vyombo vya umma ndiyo ukisafiri navyo hawatoi maelezo au hiyo Unayosema 'training'

Mfano:
MAJINI: 🚣 boat za kwenda Unguja za azm.
BARABARANI: mabasi ya route ndefu kama J.... na D....
ANGANI: Mashirika yote makubwa ya ndege, kabla ya safari lazima watoe briefing kwa abilia nini ufanye kukitokea tatizo.

Hello JF
Naomba leo tujadiliane hili...

lastly kuwe na five minutes training kwa wasafiri wote kujua basics za kujiokoa endapo ajali itatokea...
 
kikosi cha uokoaji kipo, lakini wengi wao wanavitambi ni noma...!! huwa nikiwaangalia nacheka peke yangu [emoji23][emoji23]

sijawaona ila umenichekesha Napata picha na hivyo vitambi 😛
 
Mdau (nadhani) yawezekana ni vyombo vya umma ndiyo ukisafiri navyo hawatoi maelezo au hiyo Unayosema 'training'

Mfano:
MAJINI: 🚣 boat za kwenda Unguja za azm.
BARABARANI: mabasi ya route ndefu kama J.... na D....
ANGANI: Mashirika yote makubwa ya ndege, kabla ya safari lazima watoe briefing kwa abilia nini ufanye kukitokea tatizo.

Asante mkuu,kama hii system ipo tayari na 'inatekelezwa'
 
Tatizo ni pale panapotokea janga kama hilo lililotokea ndiyo SHIIIDA, unakuta kuchukua hatua mapema hamna tunasubili binadamu wameumia ndipo baadae unasikia vifaa vipo tutalivuta hilo *basi kutoka kwenye korongo.

Back
Top Bottom