crane
Member
- Sep 9, 2018
- 40
- 25
Habari za mida hii wanajukwaa..
Kwanza kabisa naombeni radhi kwa yeyote ambae atakwazika kwa namna yeyote na uzi huu, kwani itakua ni mapungufu ya kibinaadam, pia naomba support yote kwenu wanajukwaa, mimi ni mgeni humu.....
Bila kupoteza wakati tuanze mada yetn...
Kwa kawaida toka wengi wetu tulipo zaliwa, tumekua na ideology ya kuwa mzungu au binadamu mwenye ngoz nyeupe ni extraordinary zaidi ya sisi blacks.
Kwa mfano, kuna baadhi ya misemo mitaani huwa inasemwa na watu wa kila rika sometimes hata baadhi ya wasomi...utawaskia wakisema: akitoka mungu ni mzungu au mzungu anaweza kila kitu hadi kamuumba binadam kakosa kumuwekea roho tu.......jambo ambalo halina ukweli.....au wengine wanafail kuelewa kwamba upandikizaji wa viumbe scientifically(cloning) nao wanaita ni uumbaji wa mzungu.......pia utakuta mabishano ya waafrika wakijenga hoja mbalimbali za kujishusha mbele ya wazungu...kwa mfano utaskia mtu mweusi akisema .. Mzungu akiamka anawaza agundue nn na mtu mweusi anawaza ngono😕😕....
sisi wote humu ni mashahidi kwamba kuna watu weusi waliowahi kufanya mambo makubwa katika discipline mbalimbali za kisayansi..kijamii n.k.
sasa swali langu lipo hapa kwenu wanaintelligece,, je? Nadharia hii ya mtu mweusi kuji undermine imetoka wapi? Wakat wote binadamu tunaakili sawa...kama ni maprof wazungu cc pia wapo.......na ukizngatia we black ni wakipekee sana hivo imani yangu lazma tutakua na thamani kubwa na kitu cha kipekee ndani yetu ambacho wengine hawana. Kwani haiwezekani hata madada zetu baadhi wapo radhi wadate kwa mzungu kichaa yaani
Nawasilisha...