Don255
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 1,069
- 848
Habari zenu wana jamvi.....kumekuwa na changamoto za usafir wa majini kufika kisiwani.mafia...inakulazimu.kutumia usafir wa basi paka NYAMISATI..hapo itakulazimu kulala kwenye mazingira magumu ya maeneo.hayo.paka.saa kumi usiku ndipo safari ya MAFIA inaanza kwa kutumia mabot ya mbao....masaa manne baharini kukiwa na misukosuko ya mawimbi na upepo....WADAU tunaomba mtusaidie na sisi ni WATANZANIA