Hawa Paka unaowakimbiza / unaowafukuza wanabaki Kukuangalia tu wapo Mtaani Kwangu au ni sehemu nyingi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,545
108,861
Rejea Kichwa cha Habari kisha anza zako Kutiririka na Kuserereka kwani Mimi bado niko nje napambana nao ila bado tu wananidindia / wananikatalia Kuondoka.

Nawasilisha.
 
mm wamemaliza vifaranga nikawawekea Dawa ya panya Zinc wakameza siku ya pili wakaja tena nikakimbia kuleta Dimecron nikachanganya na samaki na nyama wakameza wiki hili wamekuja tena nimenunua manati
jioni hii nimevuta mpaka mwisho wamenikodolea mimacho hawajuai manati, naishusha wakakimbia, nahisi Paka watu si pakamwitu
nawaombeni DAWA YA KUUA PAKA JAMANI
GENTAMYCINE Paka ndio hawahawa Pakashume ukipata dawa /sumu ya kuua Paka mwenye loho 7 niTag
 
Kwa ushsuri tu. Kesho hakikisha unanunua nyama. Bakiza vipande minofu tupu au kichwa cha samaki. Saga vidonge vya piriton kama kumi hivi. Changanya na nyama su kiswa ya samaki. Weka wanapofikia paka. ........asubuhi utakuta paka wako fofofo. Fukia shimoni kabla ya kurudisha udongo mwagia maji ya moto sana. Hii itakuondolea mikosi. Mabibi watakupapatikia na kero ya paka utakua umeimalii ..umeimaliza.
 
Back
Top Bottom