Mtoto Wa Miezi Tisa Aambukizwa UKIMWI

Afande Fojuman

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
650
534
‪Susan Njeri (42) Raia wa Kenya amefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumuambikiza Mtoto wa jirani yake mwenye miezi 9 virusi vya UKIMWI, Susan anadaiwa kumnyonyesha Mtoto huyo akiwa anatambua kuwa anaishi na VVU baada ya jirani yake kumuacha nae.
FB_IMG_1537907696458.jpg
 
Watu wabaya sana,
ndo.maana niliwah kuwaambia,
Unapomleta Dada wakazi, hakikisha umempimisha kuanzia ngoma mpaka homa ya Ini !!

Ila mnakuaga wagumu kuelewa.

Sema watu wana roho mbaya. Yaaan anajua kabisa Kaishaa lkn makusudi anamwambukiza mwenzake !!.
 
Kweli aisee,
Ata mimi nashauri ivyo
 
Back
Top Bottom