Ndoto inayonisumbua

Ndoto inayonisumbua

Retards Finder

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2018
Posts
509
Reaction score
706
Mimi ni kijana wa Kikristo ninayeabudu kupitia dhehebu la Kanisa Katoliki.
Ila si mtu wa dini sana,hata kanisani huwa naenda mara chache sana kwa mwaka.
Lakini nimekua nikiota ndoto moja ya kiimani mara kwa mara,haiwezi kupita mwezi sijaota ndoto hii.

NDOTO YENYEWE:
Usiku wa manane ghafla najikuta napambana na nguvu ambayo haionekani kwa macho,hiyo nguvu napambana nayo kwa njia ya MAOMBI,nakemea sana hiyo nguvu kwa kulitaja jina la Yesu (kama vile wafanyavyo walokole).
Kuna wakati huwa kama inakaribia kunishinda (huwa nahisi kama napoteza nguvu),ila kadri ninavyozidi kulitaja jina la Yesu mara nyingi ndivyo nguvu hivyo inaposhindwa kuendelea na mapambano.

SWALI:
Ni nini maana ya ndoto hii ambayo imekua ikikatisha usingizi wangu mara kwa mara?
Nini nifanye kuepukana na ndoto hii?
 
Mkuu achana na vitu vya kizembe hivyo!

Well,it is just a ndoto!

Why sweating yourself over kitu cha kufikirika kama ndoto?

Ndio shida ya madini...ukiamini kuna Mungu maana unaamini Shetani by the Law of Opposite Image....wanaoamini Mungu wanaamini Shetani essentially..

Kuamini kuna Mungu ni upumbavu wa hali ya juu..ndio maana mnapata psychological problems and stresses like these...Hizi ndio psychological capitivities mnazopata...

Delete these God/Shetani/Dini stupidity!
 
MUNGU ANA MPANGO NA WEWE
 
subiri ipo SIKU.utaitafuta I'd ya the greater Man
nadhan utashangaaa

Umeulizwa swali..Huyo Mungu kaongea na wewe saa ngapi na kukwambia "Mwambie Wyatt Mathewson nina Mpango nae",hujajibu!

Siku gani hiyo niisubiri?

Mtu wa Mungu mpaka jina la hiyo siku hulijui,ina tofauti gani na mpiga ramli?

Nitafute ID yako niipeleke wapi?

We are all internet characters hapa,nikutafute nikupeleke wapi au unisaidie nini to be precise?

Mbona watu wa dini mnajipa umuhimu sana hapa duniani?Yaani umekua muhimu sana mpaka nikutafute,what a joke!
 
Pole sana kijana, kwanza inakupasa kuamini kwamba kuna ulimwengu usioonekana kwa macho ya damu ya nyama (Ulimwengu wa roho) ulimwengu huu unatumiwa na falme mbili za Shetani Na Mungu na kupambana katika ulimwengu wa roho kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na ndoto. Mara nyingi Mungu anatumia njia hii kuongea na wanadamu kwa kuwajulisha kufanya jambo fln kwa jinsi atavyoona pia shetani anatumia ndoto kudhuru wanadamu,,,,,kwa mfano unaweza kuota unalishwa au kula nyama Na kweli ukiamka unajikuta umeshiba na huna hamu na chakula. Kwa ufupi niseme kwamba ndoto yako ina maanisha kwamba kuna nguvu isiyoonekana kwa macho inapambana na wewe aidha kukurudisha nyuma inaweza ni uchumi, afya, elimu nk. Naamini ni kweli kwamba kuna baadhi ya mambo ambayo unafany hayakamiliki kwa wkati unataka wewe, kwahiyo hiyo nguvu inajitahidu sana kukukwamisha mambo yako. Sasa basi acha kudharau ndoto inaonesha kitu halisi kilichotokea nyuma au kitatokea baadae.
Siku nyingine nikipata muda nitaeleza kwa kina kuhusu ndoto na madhara yake pamoja na siri ya ulimwengu wa roho!
 
Kikubwa zaidi USOGOPE CHOCHOTE!
Usipigane na hiyo nguvu uione itaishia wapi, ni viumbe visivyo na madhara yoyote, tena iambie iyo nguvu inataka nini, kikubwa kuliko vyote ni USIOGOPE KABISA WALAHI!
 
We kula bapa (Konyagi) na ganja ..nakuapia hutaota tena
 
Mkuu achana na vitu vya kizembe hivyo!

Well,it is just a ndoto!

Why sweating yourself over kitu cha kufikirika kama ndoto?

Ndio shida ya madini...ukiamini kuna Mungu maana unaamini Shetani by the Law of Opposite Image....wanaoamini Mungu wanaamini Shetani essentially..

Kuamini kuna Mungu ni upumbavu wa hali ya juu..ndio maana mnapata psychological problems and stresses like these...Hizi ndio psychological capitivities mnazopata...

Delete these God/Shetani/Dini stupidity!
You must be out of your line.....are u drunk or something!
 
You must be out of your line.....are u drunk or something!

Kwa maana kila anae-think tofauti na wewe ni drunk?

Umejuaje kama sio wewe ndio drunk?

Wewe akili yako ndio marking scheme kwa watu wengine wote huku duniani?

Hizo nyodo za kuona watu wengine ni drunk na wewe upo sahihi umezipata wapi?

Huyo Mungu wako ndio kakuelekeza utoe minyodo ya namna hiyo mbele ya wanadamu wengine?

Kakutuma lini labda Bwana Ras Jeff Kapita?
 
Back
Top Bottom