Mtangazaji wa BBC Regina Mziwanda hii idadi ya Abiria 400 waliokuwemo ndani ya MV Nyerere umeitoa wapi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,881
Nimemsikia leo akisema hiyo idadi tena bila hata ya wasiwasi wowote katika ' Amka na BBC ' na nikashtuka mno na kusikitika sana tu. Nadhani BBC hasa idhaa ya Kiswahili kuna ' tatizo ' la Kiuweledi mahala ambalo kama msipokuwa makini nalo basi kuna Siku litakuja Kuwagharimu.

Badilikeni tafadhali hamjachelewa.

Nawasilisha.
 
Nakumbuka alisema "...zimetoka kwa mashuhuda na DC kama sijakosea"
 
Nakumbuka alisema "...zimetoka kwa mashuhuda na DC kama sijakosea"

Hakuna Kitu kama hicho na hakuna mahala popote ambapo alisema idadi hiyo ameitoa kwa Mashuhuda na huyo DC kama ambavyo unataka Kutudanganya hapa. BBC wana ' mapungufu ' makubwa sana ya ' Kiuweledi ' kwa siku za karibuni na sijui kumetokea tatizo gani.
 
Hao wanasema ukweli bila kupepesa macho na nakumbuka siku ya mazishi mtoa taarifa alitupa idadi ya waliokuwemo kwenye mchana nyerere akachukua walio kua hai akajumlisha na waliopatikana mpk ile siku ndo akasema ndo ilikua idadi ila naona mpk jana kuna mwili mwngne umepatikana sasa sijui ile idadi ya kwnz na kauli ya kwanza ndo itaendelea kukaa nayo au?
 
Ili kupata takwimu kamili mamlaka husika inabid iseme wangapi ambao hawajaonekana hadi leo kupitia kwa ndugu ambao hawajaona ndugu zao hadi leo
 
Nakumbuka alisema "...zimetoka kwa mashuhuda na DC kama sijakosea"
Hakuna Kitu kama hicho na hakuna mahala popote ambapo alisema idadi hiyo ameitoa kwa Mashuhuda na huyo DC kama ambavyo unataka Kutudanganya hapa. BBC wana ' mapungufu ' makubwa sana ya ' Kiuweledi ' kwa siku za karibuni na sijui kumetokea tatizo gani.
nani alisikia kwa usahihi sasa hapa?
 
...ila naona mpk jana kuna mwili mwngne umepatikana sasa sijui ile idadi ya kwnz na kauli ya kwanza ndo itaendelea kukaa nayo au?

Wanaweza kuingizwa kwenye idadi ya ongezeko, sijui itakuwaje kuhusu rambirambi aliyotoa Rais kama itawahusu au la!
 
Hao wanasema ukweli bila kupepesa macho na nakumbuka siku ya mazishi mtoa taarifa alitupa idadi ya waliokuwemo kwenye mchana nyerere akachukua walio kua hai akajumlisha na waliopatikana mpk ile siku ndo akasema ndo ilikua idadi ila naona mpk jana kuna mwili mwngne umepatikana sasa sijui ile idadi ya kwnz na kauli ya kwanza ndo itaendelea kukaa nayo au?
Hivi kudanganya kuna faida gani? Au ndio kasumba ya waswahili kuamini kila kitu cha mzungu? Waliokuwepo kwenye tukio na wasiokuwepo nani ni mkweli? We ulikuwepo kwenye tukio? au umesikia?
 
nani alisikia kwa usahihi sasa hapa?

Ya nini ujisumbue hivi kama ' Juha ' Mkuu? Vipindi vya ' Amka na BBC ' huwa vipo hata You Tube hivyo nenda kasikilize Kipindi cha leo kisha nakuomba urudi hapa useme kama GENTAMYCINE nimekosea au nimepatia. Usidhani nimekurupuka hadi kuja na huu ' Uzi ' tafadhali kwani najiamini na huwa nina uhakika na ' maudhui ' yangu tena hasa yahusuyo masuala muhimu kama siyo nyeti pia.
 
Hili suala la DC kusema idadi ya 400 ilikuwa siku ile ile ya tukio. Na kitabu "kikalowekwa"...

Na siku ile ni vyombo vyetu vilimnukuu hivyo kabla ya BBC kumnukuu leo.
 
nani alisikia kwa usahihi sasa hapa?

Labda tuutafute ule uzi wa kwanza kabisa uliotaja hiyo idadi.

Japokuwa naona kila mtu alikadiria kulingana na uwezo wa macho yake, unakumbuka yule jamaa aliyeokoa akina mama watatu mmoja wao akiwa mjamzito? Yeye alisema 600
 
bbc bhana.
wakati jamaa wote wa bongo tunafurahi meli kusimamishwa bila kuambiwa kama wamekuta maiti au la.
jana bbc startv jioni wanasema walikuta maiti ya mtoto mdogo, na bado wanaendelea kukagua.
 
Nimemsikia leo akisema hiyo idadi tena bila hata ya wasiwasi wowote katika ' Amka na BBC ' na nikashtuka mno na kusikitika sana tu. Nadhani BBC hasa idhaa ya Kiswahili kuna ' tatizo ' la Kiuweledi mahala ambalo kama msipokuwa makini nalo basi kuna Siku litakuja Kuwagharimu.

Badilikeni tafadhali hamjachelewa.

Nawasilisha.
Hivi kweli kwa kutumia akili mlizozaliwa nazo mnafikiri kivuko kilikuwa na abiria chini ya 300 ikiwa safari ya asubuhi kilibeba abiria zaidi ya 800?

KUmbuka hadi watu walilalamika kwamba abiria wamezidi na kepteni akawaambia hawapangiwi na mtu.

Katika masuala ya vifo, serikali hata siku moja haitasema ukweli. Hata vita vya Kagera walisema walikufa askari 600, lakini tumia akili zako kuona kama vita ya karibu mwaka mzima iliua watu 600 tu. MV Bukoba wanasema walikufa watu 800, ukweli ni kwamba walikufa wengi zaidi ya hao.
 
Back
Top Bottom