VIDEO: Mkuu wa mkoa wa Dsm aingilia kati beef la Wema na Mobeto kuhusu jina,apongezwa

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Ni wakati pia wakuu wengine wa mikoa kuiga uchapakazi wa kijana huyu wa DSM kwani akiwa kama mkuu wa kamati ya usalama wa mkoa ameingilia kati beef jipya kuhusu jina la Tanzania sweetheart kati ya wema sepetu na Hamisa mobeto
Ikumbukwe hao wadada wapo kwenye MKOA WAKE na issue yao inahusisha mateam ya mtandaoni hivyo uamuzi wa busara aliochukua kijana huyu kutolea ufafanuzi umeokoa maafa yasitokeeee
***Haijalishi kama mahakama ilimkuta huyo bibie wema na tuhuma za kutumia madawa ya kulevya ila kwa mujibu wa bwana Makonda huyo ndiye Tanzania sweetheart...Waaaaoh what a charismatic leader he is..yupo vizuri mnooo aiseee.

imeshaletwa humu mods unganisha Uzi wake au futa kabisa
 
Baada ya kusanukiwa ishu ya kutafta wafadhili/wawekezaji nje ya nchi
Sasa amehamia kwa madanga show
Ukiskia kubadilisha gea angani ndio hii sasa
 
Makonda achana na kazi Binafsi epuka waandishi wa habari za udaku na burudani mda umeenda sana tumechelewa chapa kazi uokoe mamilioni ya vijana tunakutegemea
 
Ni wakati pia wakuu wengine wa mikoa kuiga uchapakazi wa kijana huyu wa DSM kwani akiwa kama mkuu wa kamati ya usalama wa mkoa ameingilia kati beef jipya kuhusu jina la Tanzania sweetheart kati ya wema sepetu na Hamisa mobeto
Ikumbukwe hao wadada wapo kwenye MKOA WAKE na issue yao inahusisha mateam ya mtandaoni hivyo uamuzi wa busara aliochukua kijana huyu kutolea ufafanuzi umeokoa maafa yasitokeeee
***Haijalishi kama mahakama ilimkuta huyo bibie wema na tuhuma za kutumia madawa ya kulevya ila kwa mujibu wa bwana Makonda huyo ndiye Tanzania sweetheart...Waaaaoh what a charismatic leader he is..yupo vizuri mnooo aiseee.

Huyu jamaa anajua kucheza na akili za watanzania
 
Back
Top Bottom