VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,611
- 13,177
Tumieni tekinolojia na mtandao wenu kuwabaini. Binafsi kwa ukata huu siwezi tapeliwa,ila inaweza tokea coincidence mtu anafanya muhamala akaibiwa. View attachment 881417
Cjakuelewa ila sio mbaya labda ntaelewa baadaeTumieni tekinolojia na mtandao wenu kuwabaini. Binafsi kwa ukata huu siwezi tapeliwa,ila inaweza tokea coincidence mtu anafanya muhamala akaibiwa. View attachment 881417