kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,595
Ni aina ya magari yanayojulikana kuwa ni ya kifahari na pia ni ghali sana! Wataalam wa magari naomba msaada wenu ni kitu gani kinayafanya kuwa ghali kwa kiasi hicho?
Bei inafika mpaka Tsh 5 bil nighali sana je?
1. Unapatiwa huduma gani baada ya kununua kiasi huwezi kupata kwenye kampuni nyingine?
2.Hizi gari zina utofauti gani kuzifanya kuuzwa tsh bil 2-5 na sio milioni 500 hadi 800?
3.Life span yake ni kubwa kuliko magari mengine kiasi haliwezi kuharibika?
4.Au wanauzia jina kwa kuwa ni maarufu?
UPDATES
baada ya swali langu nashkuru kwa michango yenu wana JF haya ni baadhi ya majibu Muruwa kutoka kwenu.
..................
1.li kuonekana nani ana uwezo na kutamba mjini kwa harufu ya hela makampuni makubwa ya kutengeneza magari wanatengeneza kukidhi matakwa ya wenye nazo.
Hivyo basi supercars lazima ziwe ghali sana ili watu wa kawaida kama sisi tusiendeshe ndio maana kuna special cars ambapo unawekewa mpaka jina kwenye seats.
Magari ya kifahari yanatengenezwa kwa mkono na sio kwa robot na uangalifu mkubwa na ubora wa hali ya juu.
Nilikuwa naendesha Nissan GT-R ingawa ina uwezo na speed ya uhakika ya V6 lakini nikiangalia Lamborghini au Aston Martin one-77 ambazo zimetengenezwa 77 tu duniani huwa nasema labda baada ya miaka kadhaa ntakuja kuendesha kama hayo ya special edition.
.......................
2. Smokey D - Mar 16, 2016
Mtoa mada kuna hizi materials wanazotumia kwenye magari world wide..
1-Steel
2-Carbon Fiber
3-Titanium Steel
Hizi super cars wanatengeneza na carbon fiber ambayo ni nyepesi (Lighter) Kuliko Titanium steel
(Lighter than an equivalent steel component.)
Pia kwenye engine ya Buggati Piston zake wametengeneza kwa kutumia Titanium..
-Carbon fiber is STRONGER than titanium steel carbon fiber at $10 per pound is “prohibitively expensive”,
-Carbon fiber is not only STRONGER than titanium steel, titanium is still WAAAAY more expensive than carbon fiber..
Au
Fwatilia hapa
8 Reasons Supercars Are So Damn Expensive
..........................
3.money bag said:
nimegundua hapa kuna ubishi usio kuwa na tija.ubishi wa ligi.
ila ukweli utabakia kuwa ukweli tuu gari ya garama siku zote ina vitu vingi sana vya ziada.
gari ya milion 20 huwezi fananisha na gari ya milion 600.
sasa kama ww akili yako sio nzuri jitoe tuu ufaham.
…....................
Report Like Reply
hamfcb - Mar 16, 2016
Hizi super cars huwez kufanamisha na gari zetu ya kijapan. Bei ya Tyres za bugatti unaweza kununua paso mpya mbili. Hapo sasa cjui utafananisha vipi kwanza coz ni wazi hizi ni gari zilizotengenezea kwa ubora wa hali ya juu
.
...........,......
Baba how it's made ( materials used, quality, level of engineering, massive innovation and design)
Kwa mfano:- buggati inatengenezwa na material yenye madini ya titanium yanayotumika kutengeneza engine za ndege material ambayo ni ghali sana, material yanaweza kutolelate joto la juu sana compared to steel ndio maana buggati inakimbia mpk speed 550 bila engine kuwaka moto.
Kwa mfano brake pads za toyota motors zinatengenezwa kwa dk 10 while ya buggati inatengenezwa masaa 3 kwa material ya hali ya juu ambazo hazipati moto kuisimamisha garu inayokimbia speed 550.
Rolls royce man material inayotumika baba nomaaaa, luxury touches zinazowekwa hapo ndani acha mkuu, gari yenyewe uzito tan 7
Mkuu naomba uangalie kipindi cha television kinachoitwa how "its made".