Naomba kuuliza wapi wanauza vitambaa vya kushonea kofia za kike ambazo wanawake wengi wa dar es salam,wanazivaa pia wapi capeti za kutengenezea mikoba zinapatikana naombaeni msaada wenu
aina ya mikoba ni mikoba ambayo,inauzwa 5000 kwa dares salam mikoba ya kike